Ripoti ya Uchunguzi ya Kitima itapatikana kama mpaka leo hakuna ripoti ya Kibao, Soka na wenzake, Chaula, Nondo, BAVICHA Mwanza?

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.

Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?

Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!
 
Nimeipenda hii😂🤣🤣, lakini hii itatoa picha gani kwa samia na vyombo vya ulinzi?
Mkuu kwa Padre Kitima wameyakanyaga. Na hapo yataibuka mengi sana, kwa sababu Waroman Katoliki wanathamini sana watu wao.

Rejea lile tukio la mwaka 2011/2012 la yule Padre kupigwa risasi kule Zanzibar.

Walishuka makomandoo tena FBI. Nikiiona video nitaweka hapa
 
Wakuu,

Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.

Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?

Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!
Hivi kwa akili yako uliyonayo, hadi leo hii bado unaliamini Jeshi la Polisi kwamba litafanya Uchunguzi wa kuaminika kwenye matukio kama hayo ya Utekaji Watu? Seriously?

Hivi mpaka leo ni kweli kwamba haujui Nani hasa ambaye anahusika na matukio haya ya Utekaji Watu, kuua au kuwashambulia Watu hapa Tanzania?
Ni Mtu mwendawazimu tu ndiye ambaye anaweza akaamini kwamba Watekaji ni Watu ambao wapo nje ya Mfumo wa Utawala wa nchi.
Mwenye macho haambiwi tazama!
 
Wakuu,

Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.

Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?

Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!

Wanabuy time tu ili watu Wasahau.

Tafadhari Kanisa litubarikie ule Waraka uliopendwa na Watanzania wengi. Jamaa aliyeuanfika ana akili sana na anajua hasa ni nini Watanzania wanakihitaji kwa sasa.
 
Kwani uliwaamini mkuu? Keupe kekundu tu kama kawa hii, tazama tu mijineno inavyotolewa rejareja ujue nothing serious going on!
 
Wakuu,

Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.

Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?

Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!
Ngoja tusubiri wiki hii iishe
 
Ngoja tusubiri wiki hii iishe
Kama ya kKitima ikipatikana while hizo nyingine ikiendelea kuwa kizungumkuti then watakuwa wanafanya makusudi na wao ndio watakuwa wahusika wakubwa kwenye matukio haya
 
Back
Top Bottom