Polisi wanajichunguza wenyeweNimeipenda hii😂🤣🤣, lakini hii itatoa picha gani kwa samia na vyombo vya ulinzi?
Mkuu kwa Padre Kitima wameyakanyaga. Na hapo yataibuka mengi sana, kwa sababu Waroman Katoliki wanathamini sana watu wao.Nimeipenda hii😂🤣🤣, lakini hii itatoa picha gani kwa samia na vyombo vya ulinzi?
Hivi kwa akili yako uliyonayo, hadi leo hii bado unaliamini Jeshi la Polisi kwamba litafanya Uchunguzi wa kuaminika kwenye matukio kama hayo ya Utekaji Watu? Seriously?Wakuu,
Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.
Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?
Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!
Kanisa lina mapdre makachero sio? Ahahahahaha!!Wasipoitoa wao, Kanisa Litatoa.
Wakuu,
Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24 tukaambiwa anawafahamu walimteka halafu ikaisha hivyo, jaribio la mauji kwa Lissu, nk, nk.
Kutokana na historia kuna uwezekano wa kupata ukweli wa tukio la Kitima? Mdude je, lakini kubwa kabisa kuna mwanga kuwa matukio hayo ya nyuma yatapata ukweli wake?
Hii haizidi kuthibitisha kwamba kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa mtu/watu wenye mamlaka kwenye matukio haya kiasi kwamba wanaona hakuna mtu/chombo kinachoweza kufanya lolote dhidi yao ndio maana matukio haya yanaendelea kutokea?!
Ngoja tusubiri wiki hii iisheWakuu,

Inatafakarisha sanaKama ya kKitima ikipatikana while hizo nyingine ikiendelea kuwa kizungumkuti then watakuwa wanafanya makusudi na wao ndio watakuwa wahusika wakubwa kwenye matukio haya