Ripoti ya UNAIDS 2025, Maambukizi ya UKIMWI kuongezeka hadi Millioni 6 na Vifo millioni 4 kwa Miaka minne ijayo

Ripoti ya UNAIDS 2025, Maambukizi ya UKIMWI kuongezeka hadi Millioni 6 na Vifo millioni 4 kwa Miaka minne ijayo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Julai 10, 2025, kupitia ripoti ya UNAIDS iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Winnie Byanyima, alieleza hatua ya Marekani kusitisha ghafla ufadhili kupitia mpango wa PEPFAR imeacha pengo kubwa, na ikiwa dunia haitachukua hatua, watu milioni sita zaidi wanaweza kuambukizwa katika kipindi cha miaka minne ijayo, huku milioni nne wakikabiliwa na vifo vinavyohusiana na Maambukizi ya UKIMWI

Ripoti hiyo inaeleza kuwa tangu mlipuko wa UKIMWI uanze, maisha ya watu milioni 26.9 yameokolewa kupitia juhudi za matibabu, nyingi zikiwa eneo mwa Jangwa la Sahara linaloathirika zaidi
Soma pia:
Ikumbukwe Julai 9, 2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwahi kutoa takwimu watu elfu 60 hupata maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi nchini Tanzanaia kila mwaka ambapo asilimia 34.3 ya maambukizi hayo ni kundi la vijana

Akisoma hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Waziri Mkuu Majaliwa alieeleza kuwa takwimu zilizopo zinaonesha watu 1,545,880 kati ya 1,690,94 wanaoishi na virusi vya Ukimwi (WAVIU) wanatumia dawa za kufubaza makali ya VVU huku asilimia 96.4 ya idadi hiyo ni watu wenye umri wa miaka 15 na kuendelea

====

Decades of progress in the fight against HIV/AIDS are in danger of unraveling, the United Nations Aids Agency (UNAIDS) warned Thursday in its annual report, citing sharp funding cuts from major donors.

The report, launched in South Africa by UNAIDS, says those cuts — especially the sudden withdrawal of U.S. funding — are threatening to reverse gains that have saved millions of lives over the past two decades.

"If the world doesn't plug this hole," said Winnie Byanyima, executive director of UNAIDS, "we estimate that an additional six million people will be newly infected in the next four years. We could have four million additional AIDS-related deaths"

The reports warning comes five months after the Trump administration halted most funding for the President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) — the largest single contributor to the global HIV/AIDS response. The decision was made with little warning

"The sudden withdrawal of the single biggest HIV donor is putting this progress at risk," Byanyima said during a press briefing in Johannesburg

Since the start of the epidemic, UNAIDS says 26.9 million lives have been saved through treatment efforts — many of them in sub-Saharan Africa, the region most affected by the virus

Fallout in South Africa and beyond
South Africa, which has the world's largest population of people living with HIV, has made major strides. Most of those infected now receive life-saving antiretroviral drugs

But the fallout is already being felt. At the report's launch, South Africa's Health Minister Aaron Motsoaledi called the U.S. cuts "a wake-up call" — and warned of the dangers of depending on a single donor

"This type of relationship where we depend on one country, and when that country is in some type of negative mood, the whole world collapses — yes, it's scary," he said

Scientific setbacks and a call to action
South African researchers have been at the forefront of global HIV breakthroughs as well as COVID-19 studies. But many trials are now being suspended due to lack of funds

Dr. Helen Rees, head of the Wits Reproductive Health and HIV Institute in Johannesburg, said the implications are global

"The research being done for HIV and tuberculosis in South Africa has not only had an impact here, but a huge global impact," she said

Rees was recently honored by the World Health Organization for her "outstanding contribution to public health," but her institute is now facing major U.S. funding cuts

"Not charity" — a shared fight
Trump has said the shift away from U.S. aid reflects a new emphasis on "trade over charity" in Africa. But UNAIDS' Byanyima says the sudden withdrawal of U.S. support in February has left UNAIDS with nearly 50% less funding — and no time to prepare for the gap

"This is not charity," she said. "This is solving a global problem together. As long as it festers in some parts of the world, it will come back to hit everybody else"

For longtime HIV activist Nombeko Mpongo in Cape Town, the cuts have felt deeply personal

"I remember for a few days I felt suffocated, I felt like being choked… It was like a volcano came and took everything away. It felt like a death penalty," she said

But after the shock, Mpongo says she rallied

"I realized — no man, nonsense. Let me fight. Let me reach out to the communities," she said. "We've fought this virus before. We'll do it again, because hope is what is going to carry us through"

1752219773960.png
 
Jana nimeona Dr nan sijui anahojiwa na mwandishi wa BBC kuhusiana na athari za kukata hiyo misaada Tz yeye anakwepa anaongelea Kenya na nchi zingine kama SA, nafikiri wameonywa na kufinywa mapumbu wasije ongelea madhaifu yoyote kwa sasa
 
Kuna aliyewahi kusikia hizi propaganda zikisambazwa na kutangazwa China, Ujerumani, Italy etc!?, Africa shtukeni wanawamaliza na ma ARV'S, story za AIDS ni propaganda tu. Hutakaa upate UKIMWI mpaka siku ukipima. Usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Mitandao ipo na bando mnazo tafuteni maarifa. Nitatoa hints tu, siku umeambiwa una UKIMWI nenda kale vizuri, baada ya mwezi mmoja kapime tena hospitali yoyote. Ukikubali kunywa ARV'S ndo mwisho wako.
 
Kuna aliyewahi kusikia hizi propaganda zikisambazwa na kutangazwa China, Ujerumani, Italy etc!?, Africa shtukeni wanawamaliza na ma ARV'S, story za AIDS ni propaganda tu. Hutakaa upate UKIMWI mpaka siku ukipima. Usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Mitandao ipo na bando mnazo tafuteni maarifa. Nitatoa hints tu, siku umeambiwa una UKIMWI nenda kale vizuri, baada ya mwezi mmoja kapime tena hospitali yoyote. Ukikubali kunywa ARV'S ndo mwisho wako.
Acha kupotosha umma!
 
Back
Top Bottom