Elections 2010 Ripoti ya wasimamizi wanasheria: Mchakachuo mtupu


Umesema vizuri lakini kususia kushiriki ndio unatoa nafasi kubwa ya wao kuendeleza madudu wanayotufanyia,ingekuwa vizuri ukaungana na wenzio ambao wanapenda TLS ifanye kazi kwa matarajio ya uundwaji wake nafikiri matatizo yaliyopo mngeweza kuyaondoa kabisa.
 
Hakuna Kitu Kichwani au Wanaonekana Wanaandika Ripoti ili JK Bosi Wao Asome. Hii Sio kwa Malengo ya Watanzania ni Kwa Ajili ya Halmashauri ya CCM. Inawezekana Hii Ripoti Sio Yetu Sisi, Wamekosea Wikileak Wameiba na Kutopa Online.

Wananchi Siku Zote Wanazungumzia Wasomi Wasomi Ndio Watasaidia Inchi Yao Kumbe Baadhi Kama Hao Serikalini Ndio Wanaimaliza Inchi Yao. Sheria Gani Wamesoma Hawa ili Kuandika au Kusuggest Laws? Katiba ni Muhimu Sana kwa Inchi Yetu na Wanainchi Tutanufaika Sana na Hawa Wanasheria Wanaopenda Hongo Hawatapata Hii Nafasi Kutudanganya Tena. Hii Inaonyesha Mawazo Duni na Utawaliwa wa Utumwa. Huu Uchaguzi Umeandaliwa na Chama Kimoja, Tume ya Chama Kimoja, Kuhesabiwa Kura na Chama Kimoja na Kutangazwa na Chama Kimoja. Hao Wanachama wa Vyama Vingine Hawana Haki Kwa Sababu Gani? Maskini Wanamaliza Vyuo na Kukaa Mitaani Bila Kazi Kwa Sababu Hawana Connections ni Nani Atawabadilisha Kimaisha? Nani Atawateua Wizarani Ziwe 70? Hao Wanasheria Wanaona Utajiri Unaelekea Katika Baadhi ya Familia Inchini, Kwani Wao ni Wanahaki Gani Tanzania?

"Mabadiliko Siku Zote Hayaanzii Juu kwa Viongozi, Siku Zote Yanatoka Chini na Tutalazimika Kufanya Hivi Hata Kama Itakuwa Nguvu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…