Ripoti ya WB: Zaidi ya $3B Kenya zimeibiwa na viongozi ndani ya kipindi cha miaka 20

Ripoti ya WB: Zaidi ya $3B Kenya zimeibiwa na viongozi ndani ya kipindi cha miaka 20

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
How politicians, bureaucrats milked Kenya dry for 20 years : The Standard
Hii ni hali ya kusikitisha sana na yenye kuhuzunisha, hii pesa ulikua ni pesa ya mikopo ambayo hivi sasa Wakenya wa hali ya chini wanakamuliwa kwa njia ya kodi ili kuzilipa.

Jambo la kushangaza, watu ambao wanahusika na wizi huo, ndio hao hao wanaoendelea kushika na kugombea madaraka kila Mwaka ili kuizuia sheria isiwakamate.

======
How politicians, bureaucrats milked Kenya dry for 20 years

Kenyan politicians and their cronies stashed away more than Sh300 billion ($3 billion) in foreign accounts between 1990 and 2010, a new World Bank report has revealed.

The money looted from donor aid during the one-party rule and continued throughout the National Rainbow Coalition (Narc) and the Grand Coalition governments, is enough to construct 10 Thika Super Highways.

The study titled Elite Capture of Foreign Aid: Evidence of offshore accounts showed that billions of shillings taken in the name of millions of poor Kenyans ended up enriching a few powerful political figures, bureaucrats and their friends.

The report revealed how, for 20 years, a few individuals appealed for aid money in the name of Kenyans, but pocketed it as soon as it landed. In the end, the report stated, the more aid the country received, the fatter the foreign accounts held by corrupt individuals became.

This loot was either in the form of kickbacks, where well-connected fat-cats received illicit payments to facilitate business transactions or was given directly to the corrupt elite, who then swam in opulence as their countrymen went hungry.

“The results are consistent with aid capture by ruling elites: diversion to secret accounts, either directly or through kickbacks from private sector cronies, can explain the sharp increase in money held in foreign banking centres specialising in concealment and laundering,” stated the report dated February 18, 2020.

In current exchange rates, the stolen money translates to Sh15 billion per year or Sh1.2 billion per month, enough to fund water and electricity needs for thousands of Kenyans.

To justify the findings, the report found that deposits in offshore accounts coincided with aid disbursements

“Aid capture by ruling politicians, bureaucrats, and their cronies can explain why aid does not trigger flows to non-havens, why the capital outflows occur precisely in the same quarter as the aid inflows and why the estimated inflows are larger for more corrupt countries…” stated the report.

“Disbursements to highly dependent countries coincide with a sharp increase in bank deposits in offshore financial centres known for bank secrecy and private wealth management,” the report noted.

In the early 1990’s, when Kenya was in the grip of Structural Adjustment Programmes - a series of economic reforms that resulted in inflation, unemployment and massive loss of jobs - Kenyan leaders trooped to Western capitals with begging bowls, ostensibly to alleviate the pain of the suffering masses.

But according to the report, the money received never reached its intended beneficiaries, a trend that was taken up by bureaucrats in successive governments.

Although the Narc government promised a ‘clean break from the past’ when it swept into power in 2002, the report’s finding do not bear out this promise.

The study was conducted in 22 countries whose aid disbursements were equivalent to more than 2 per cent of their Gross Domestic Product (GDP).

In Tanzania, politicians and their associates siphoned $586 million (Sh5.86 billion) Uganda came next with $ 270 million (Sh2.7 billion) followed by Rwanda $190 million (Sh1.9 billion) and Burundi $ 122 million (Sh1.22 billion)

Among countries identified as safe havens were Switzerland, Luxembourg, Cayman Islands, Bahamas, Hong Kong, and Singapore.

The report ruled out the possibility that some of the money deposited in foreign banks could belong to firms that benefited from aid-sponsored spending.

“We cannot exclude the firms benefiting from aid sponsored spending, receive payments in quarters with aid disbursements and posit the funds in foreign banks; however, this mechanism cannot explain why the money only flows to havens,” the report noted.

But the bank did not escape criticism.

David Ndii, a Kenyan economist, said the report did not reveal anything new and failed to explain why the looting happens with World Bank-funded projects.

“The deposits in the havens increase when the World Bank releases money to countries for projects. This money is given to international contractors who either evade taxes in their countries or pay it as bribes,” he said.

Source: The Standard
 
tunaomba mabeberu waje wafanye uchunguzi na hapa Tz
Waanze na ile 1.5 Trillion ambazo mzee wa dona kantrii alizitafuna, tena kwa ubabe bila uoga. Nakumbuka rais wenu JK aliposema kwamba mafisadi wakikamatwa uchumi wa Tz utaporomoka. Hakuna raia wa kawaida nchini Kenya ambaye ana hamu na haya mafisadi, sio wapinzani wala wale ambao wanaunga mkono chama tawala. Tumeona wengi wao wakifikishwa mahakamani na hadi wengine wakahukumiwa kutumikia vifungu kwenye jela. Ila bado haitoshi, ipo siku soon tutaamua kuwachinja chinja ili tuanze tena na muamko mpya kutoka zero.
 
Manyang'au at their best...
Kuwa makini jombaa, hiyo taarifa imenukuu ripoti ambayo imeitaja TZ kuhusu hela zilizoliwa kutoka mwaka wa 1990-2010. ''In Tanzania, politicians and their
associates siphoned $586 million
(Sh5.86 billion)''
Hizo enzi Kenya ilikuwa na utawala wa kidikteta(Moi&KANU) na wa kisirisiri kama Tz ilivyo sasa hivi chini ya Jiwe lenu la CCM. Kwahivyo usitucheke, miaka ya hapo baadaye hata nyinyi pia mtajua kwa uhakika mlivopumbazwa na kauli za 'hapa kazi tu'. Huku upande wa pili mkitafunwa kweli kweli bila huruma.
 
Wewe focus kwenye mada wewe... Ina maana unatetea hicho kilichofanyika nchini kwenu!!!....Wewe itakuwa ni mnufaika wa hizo pesa.
 
Wewe focus kwenye mada wewe... Ina maana unatetea hicho kilichofanyika nchini kwenu!!!....Wewe itakuwa ni mnufaika wa hizo pesa.
Pita kule, hujui taarifa ni kuhusu nini na hata comment yangu uliyoinukuu hujaisoma. Kama kawa kazi ni kufata upepo tu. Ninukuu tena utakapokamilisha course yako ya English Medium.
 
Pita kule, hujui taarifa ni kuhusu nini na hata comment yangu uliyoinukuu hujaisoma. Kama kawa kazi ni kufata upepo tu. Ninukuu tena utakapokamilisha course yako ya English Medium.
English ya nini ilhali umeandika kwa kiswahili...Wewe utakuwa mmoja wa vigogo serikalini unatetea uovu... Wizi hautakuacha halafu punguza uwongouwongo.
 
Kuwa makini jombaa, hiyo taarifa imenukuu ripoti ambayo imeitaja TZ kuhusu hela zilizoliwa kutoka mwaka wa 1990-2010. ''In Tanzania, politicians and their
associates siphoned $586 million
(Sh5.86 billion)''
Hizo enzi Kenya ilikuwa na utawala wa kidikteta(Moi&KANU) na wa kisirisiri kama Tz ilivyo sasa hivi chini ya Jiwe lenu la CCM. Kwahivyo usitucheke, miaka ya hapo baadaye hata nyinyi pia mtajua kwa uhakika mlivopumbazwa na kauli za 'hapa kazi tu'. Huku upande wa pili mkitafunwa kweli kweli bila huruma.
Hahahaha, acha kichekesho wewe, Kenya ni Kenya tu, mbona mnaposema Kuhusu uchumi wenu kuwa mkubwa hamtofautishi kipindi cha MOI wala Kibaki?. Hivi Moi ilimaliza uongozi wake Lini?.

Hii ripoti inazungumzia kwamba wizi huu umetokea kuanzia kipindi cha Moi hadi Kipindi cha serikali ya Nusu mkate. Vipi unalinganisha $580M na $3B, huoni kwamba ni vitu viwili tofauti kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waanze na ile 1.5 Trillion ambazo mzee wa dona kantrii alizitafuna, tena kwa ubabe bila uoga. Nakumbuka rais wenu JK aliposema kwamba mafisadi wakikamatwa uchumi wa Tz utaporomoka. Hakuna raia wa kawaida nchini Kenya ambaye ana hamu na haya mafisadi, sio wapinzani wala wale ambao wanaunga mkono chama tawala. Tumeona wengi wao wakifikishwa mahakamani na hadi wengine wakahukumiwa kutumikia vifungu kwenye jela. Ila bado haitoshi, ipo siku soon tutaamua kuwachinja chinja ili tuanze tena na muamko mpya kutoka zero.
Kenya kwa mwaka wanaiba zaidi ya $3bil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, acha kichekesho wewe, Kenya ni Kenya tu, mbona mnaposema Kuhusu uchumi wenu kuwa mkubwa hamtofautishi kipindi cha MOI wala Kibaki?. Hivi Moi ilimaliza uongozi wake Lini?.

Hii ripoti inazungumzia kwamba wizi huu umetokea kuanzia kipindi cha Moi hadi Kipindi cha serikali ya Nusu mkate. Vipi unalinganisha $580M na $3B, huoni kwamba ni vitu viwili tofauti kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzalendo unakufanya zombie! Wizi ni wizi! Uwe wa shilingi moja, bilioni kumi bado wizi!
Tunafaa kuukemea sio eti wa nchi fulani una uafadhali kwa vile ni "mdogo"
Pesa za umma ukiiba ata jero bado ni uovu wa kukemewa!!!
 
Kuwa makini jombaa, hiyo taarifa imenukuu ripoti ambayo imeitaja TZ kuhusu hela zilizoliwa kutoka mwaka wa 1990-2010. ''In Tanzania, politicians and their
associates siphoned $586 million
(Sh5.86 billion)''
Hizo enzi Kenya ilikuwa na utawala wa kidikteta(Moi&KANU) na wa kisirisiri kama Tz ilivyo sasa hivi chini ya Jiwe lenu la CCM. Kwahivyo usitucheke, miaka ya hapo baadaye hata nyinyi pia mtajua kwa uhakika mlivopumbazwa na kauli za 'hapa kazi tu'. Huku upande wa pili mkitafunwa kweli kweli bila huruma.
Ukweli Pesa yote ya bajeti yakenya ⅓ inaliwa kifisadi hiyo report feki feki feki hata wewe unajua ilo kwa mwaka labda useme $5bil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzalendo unakufanya zombie! Wizi ni wizi! Uwe wa shilingi moja, bilioni kumi bado wizi!
Tunafaa kuukemea sio eti wa nchi fulani una uafadhali kwa vile ni "mdogo"
Pesa za umma ukiiba ata jero bado ni uovu wa kukemewa!!!
Acha kujipa matumaini wewe, hata sheria duniani kote zinatofautisha kiwango cha upotevu wa fedha, eti mtu aliyeiba $1 anahukumiwa sawa na aliyeiba $1B.

Chini ya wizi wa $5,000, mahakama Za mwanzo zinaruhusiwa kusikiliza hiyo Kesi na kuitolea maamuzi, zaidi ya kiwango hicho hawaruhusiwi.

Kwahiyo wewe unadhani kwamba mtu aliyeiba kuku na hao viongozi wenu wanaoiba $3B, wote ni wezi wanastahili hukumu sawa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama wewe ndio msomi tokea Tz kweli kuna tatizo. Unamtetea mwizi kwa kuwa kakuibia kidogo na kaibia mwenzako nyingi!
Africa yetu hii.Sisi shithole kweli.
 
Back
Top Bottom