joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Usiingize Africa nzima, kila nchi ina matatizo ila viwango vinatofautiana, hivyo hata mbinu za kutatua hayo matatizo pia ni tofauti. Unataka wizi na rushwa ya Kenya kulinganisha na Rwanda au Tanzania?, hata Botswana na Mauritius pia kuna wizi, lakini sio tatizo kubwa Kama hapo Kenya, mnapaswa kukubaliana na tatizo ili mjifunze toka nchi zilizofanikiwa kupungua hilo tatizo, sasa hivi dunia inajifunza kutoka chini jinsi ya kupunguza maambukizi ya Corona, punguzeni "ego " zenu za kijinga.Kama wewe ndio msomi tokea Tz kweli kuna tatizo. Unamtetea mwizi kwa kuwa kakuibia kidogo na kaibia mwenzako nyingi!
Africa yetu hii.Sisi shithole kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app