Kama ni hivyo basi kuuona ufalme wake ni ndoto, ngoja nichukue udhu kwanza nianze kutubia manake ripoti hiyo kwa mujibu wako inatisha.Hujasoma heading, thats yours
Wouw! jamani toto langu, limefaulu hlo, so proud of my son! ila hediticha hujatoa gpa?
Ripoti yako ni kama ifuatavyo:-
Kuoga F+ (Maji shida),
JF A+
FACEBOOK A+
Wivu A+,
Uvumilivu A,
Uchokozi A+,
Kuzurura A,
Kulala uchi A,
Kuchukua bibi za watu A+,
Siasa A+,
MAPENZI KAZINI A+,
Kutumia kondom F,
Kwenda kanisa F,
Kutongoza watoto A+,
UHUNI A+,