Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

Nyokooo, soma mada. Wazungu walishamtumia sana Lissu. Wanaweza kabisa kumuua kwa sababu wanajua ni hot target. Mh. Nape na yeye unaweza kuta aliandaa ili ionekane serikali inahusika. Usiwe mjinga mjinga
Na wazungu ndo walochukua almas ya USD MIL 200,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

May Allah bless Me and You
 
Mbaya zaidi hawa Wazungu hutumia watu wetu ambao sio wazalendo na ambao pengine ni watumishi wa umma na wanaaminika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nina wasiwasi sana hili tukio halijafanywa na watanzania!
 
Wewe umetumwa,hatuna muda na uvccm cc tuko bz kumuombea Lisu apone.magufuli mwenyewe alisema alipeleka zombi zanzibar ili waibe kura za CUF na CUF wasilete fyokofyoko,watu waliuwawa na kujeruhiwa sana ! wapinzani hawatakaa watawale alisemea singida kwa Lisu leo Lisu anapigwa risasi !atauwa upinzani.wapinzani,wasifanye siasa na ccm waendelee na siasa ! Walioimba wanaimani na Lowasa angekua yeye angepoteza wengi ! Kama alivyompoteza Ben Saa 8? Haya aliandikiwa na wazungu,ayaseme au aliwekewa mdomoni na wazungu????? Si kiburi chake tu kuona kafika sasa yy ni masihi wa ccm kama mlivyomtukuza wenyewe ! Acha kujitia aibu ya kujipaka damu za wapinzani ! Siuseme na njaa yako ? Buku 7 tu ikudhalilishe kiasi hiki? Mtahangaika sana kunawishana nyuso damu ya lisu isionekane maungoni mwenu,lakini Mungu kesha wawekea alama ya damu hiyo,hata mkoge baharini na blichi,doa hilo limewaganda kwenye mapaji ya nyuso zenu,na viganja vya mikono yenu,miyoyoni na akilini mwenu ndo maana mnaongea sana sasa hivi na kuweweseka kuliko wakati mwingine wowote kutokea nchini !. Na bado hiyo ni sehemu ya damu tu,wote mliowauwa kisiasa damu itawalili milangoni mwenu,akilini mwenu hadi kizazi chenu cha nne walaaniwa wa kuzimu nyie ccm,Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umewahi kujiuliza Nissan nyeupe nyingi zipo taasisi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nlidhani utasema kauli za huyo kiongozi wenu zinachochea hisia mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''WASHUGHULIKIE BUNGENI NAMI NITAWASHUGHULIKIA HUKU URAIANI''. Mwisho wa kunukuu
 
Sahihi kabisa Mkuu ...haters ni wengi na mikakati ni mingi pia, wanatutafuta kwa kila upenyo unaopatikana
Tanajihate wenyrwe ndani ya nchi. Inawezekana vipi sheria moja ya barabara ubomoaji Nyumba za wananchi ukafanyika Kwa jinsi walivyopiga kura?. Nenda Morogoro rd Maili Moja Kibaha kwa sababu walichagua Mbunge na madiwani wa CCM ubomoaji umefanyika mita 60 tu. Jimbo la Kibamba yaani Kimara hadi Kiluvya kwa sababu Mbunge na madiwani ni kutoka upinzani ubomoaji unafanyika mita 120.

Hivi hila kama hizi za kuwatesa wajane, mayatima, vilema Na wazee Kwa ajili ya matokeo ya upigaji kura ndio unaita chuki za wazungu?
 
Kwani h
Kwani hayo mafuta gesi dhahabu na almasi mpaka muda huu ni vyanan mpaka mzungu avihitaji.hiv hamna hata akili kidogo ya kujenga propaganda?
 
Jf ianzishe tuzo kwa post Bora kama hii
 
Itapendeza ana hawa wakikamatwa na kujibu mashtaka ya kwanini walitaka kumua kiongozi. Naamini serikali inalo jibu hilo ndio maana wanasema wamekamata gari 8. Hisia na tuhuma za kuhusika zitakwisha. Naamini kikosi kazi kinajua wajibu wake na tutapata majibu.
Sasa wamekuja na mkakati Mpya wa kutuchonganisha.Shime watanzania tushikamane tuwe kitu kimoja ili zile fitna walizozifanya Libya, Iraq na nchi nyinginezo zisifanikiwe.
Tukikubali kuzifuata fitna zao basi tujue tumekwisha.
 
Ulianza na point nzuri ukaja ukaharibu kabisa mwishoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wake hausadifu kile alichokiandika. Montenegro muhusika alikuwa ni Urusi. Tanzania ni nchi gani? Huyu jamaa atafutwe, amekunywa viroba sio bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] blah blah blah sisi tumeshajua ni Nani kwahiyo hizo story za Russia sijui nini hazituhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…