Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro






Tumekupata Mkuu, Wazungu wanambinu nyingi sana za kutumia kuchezesha mind za mwafrika asiye na self-relliance
 
Basi kama wazungu ndio wanafanya hivi, sisi kama Watanzania tuishi kwa amani ya kweli...tusibaguane,tusikilizane, na tukosoane....bila mipaka...tukifanya hivyo watakosa namna,watashindwa kutugombanisha.
 
Mko wengi sana humu JF . . , mmetumwa kuja kupooza na kupotezea ukweli . .
Nyie ndio ajira nyingi mpya kabisa zilizotolewa na baba yenu ili kufanya kazi ya shetani . .

Tunawatambua kwa maneno yenu . . , na matendo yenu yamewatangulia mbele kama tai . . , kizazi cha nyoka . . !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kwl hyo unaemsifia ana nia nzuri na taifa kwnn asitumie mda mwingi kuwaza kupambana kiuchumi kuliko kutumia mda mwingi kuwanyima political space wnasiasa wenzke, anataka asikike yye tyu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kujali itikadi za vyama,bila kuathiri maslahi ya MTU mmoja mmoja HUU UZI YAFAA UWEKWE KWENYE HANSADI NA INGEWEZEKANE UZI HUU NDIYO UNGEKUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS

HUU UZI NI KAMA NASIKILIZA HOTUBA ZA BABA WA TAIFA MWL NYERERE
 
Duu! Umetudharau kama watoto wadogo vile!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu walishamtumia sana Lissu. Wanaweza kabisa kumuua kwa sababu wanajua ni hot target. Mh. Nape na yeye unaweza kuta aliandaa ili ionekane serikali inahusika. Usiwe mjinga mjinga
Na wewe usiwe mjinga/usitufanye wajinga, inaweza kuwa ni hiyo sirikali yako imeandaa baada ya kusoma mpenyo wa uwezekano wa kutenda hilo tukio na kuwasakizia wa nje.
eti Nape aliandaa, kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Nape alilijua hili litatokea......
 
Ili kumwelewa mwandishi, inahitajika akili ifanye kazi co kukurupuka!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Bahati mbaya watu huhisi kuwa mbaya wao anapowajia,huja kama yesu atakavokuja
 
Kweli kuna watu wanajua kuandaa script mi nashauri ipeleke hollywood
 
Kwa mujibu wa magufuli nikwamba mtu akiwa tofauti na usanii wake ni msaliti katika vita yake yakisanii ya uchumi.


So Lissu ni msaliti.

na kwamujibu wa magufuli msaliti katika vita adhabu yake ni kifo.


Kwahiyo bado nyie wahuni wa lumumba mnatafuta mchawi? Shame
 
Muanzisha uzi umeonyesha namna gani ulivyo kichwa maji. Hakuna suala la wazungu hapa. Mambo yapo vivid. Hatua za kiajabuajabu za serikali za kuwa-blast wapinzani ziko dhahiri. Na tafsiri yake haihitaji shule kubwa.
 
Tuna viwanda vingapi mpaka leo vya kutengeneza sindano za kushonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…