Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi
Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua Mdunguaji huyo!!.
Soma Pia:
Steven Cheung, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampeni ya Donald Trump, alisema: "Rais Trump yuko salama baada ya risasi kurushwa karibu naye. Hakuna maelezo zaidi kwa sasa."
Pia, Huduma ya Siri ya Marekani imethibitisha hadharani kuwa Donald Trump yuko salama.
Gazeti la New York Post na ABC News vinaripoti kuwa Rais wa zamani alikuwa katika hoteli hiyo wakati watu wawili walipokuwa wakibadilishana risasi karibu. Vyombo hivyo vinasema kuwa Trump hakuwa mlengwa wa shambulio hilo, vikimnukuu afisa wa usalama ambaye hakutajwa jina.

- Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
- Iran yakanusha kuhusika na jaribio la Mauaji ya Donald Trump