Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama

Harufu ya propaganda, majaribio yote yanafeli!?
 
Trump c anatengeneza matukio km CCM kweli maana c poa Kila siku yeye tu
 
Mamlaka ya Marekani imethibitisha kuwa Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni Mgombea wa kiti cha Urais katika uchaguzi ujao, Donald Trump yuko salama kufuatia jaribio la mauaji, katika uwanja wake wa gofu wa Florida, na "mshukiwa wa tukio hilo "yuko kizuizini.

Kufuatia tukio hilo, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, ameeleza kuwa, anashukuru Donald Trump, kwamba yupo salama.

"Nimesikitishwa sana na jaribio la mauaji la Rais wa zamani Trump leo," Harris alisema katika taarifa hiyo, iliyotolewa kupitia Ikulu ya White House.
Chanzo Na Itv
 
Mashoga hawataweza trump hakubaligi kushindwa kirahis
 


Trump amekuwa ni wiba mkali sana kwa upinzani waliojikita zaidi kwenye kubadili jinsia, kufundisha watoto wadogo ngono, mapenzi ya jinsia moja, kuruhusu wanaume waliobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake, kuruhusu maharamia milioni 20 wasio na vibali, Kutoza kodi kubwa, n.k.

Kilichobaki ni kumuondoa duniani, ndicho wanachoamini wapinzani wake, Jaribio la jana ni mara ya pili na wataendelea.

Media za upinzani kama cnn walimsingizia sana kwamba ni mbaguzi, anaiuza nchi kwa Putin, kupindua nchi, n.k. ikashindikana !!

Upinzani umembambikia kesi kibao lakini mwamba anaendelea kudunda

Kumfirisi imeshindikana, Kina Elon wanachochea kuni wanampa bilioni 100 kila mwezi za kampeni pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…