Duh, burungutu jingine limebebwa na wahuni waliokuwa wanatembea maeneo haya. Ni kiwanda cha samaki cha Alpha kwenye kona ya Jet Club kama unaenda mjini tokea Uwanja wa ndege.Pole maxence, hope ur nt goin to get nightmares, mimi pia nk karibu na eneo hilo, hopeful i wil get more info later, lakini kwanini mtu usafirishe pesa bila ulinzi wowote, mi nishashuhudia wafanyabiashara wa kihindi wanavyoleta miburungutu ya pesa benki bila ulinzi wowote.
Nilitaka kuchukua picha muda si mrefu hapo afande mmoja akaniomba nisifanye hivyo kama sina kitambulisho kama mwandishi wa habari.Duh poleni sana...huu ni mchongo tu.Vp hujakumbuka hata kuchukua picha mkuu zitusaidie kufanya upembuzi yakinifu?
or the more safer way ni kuto deal na cash unless if its petty cash, hasa kama ni biashara inayoingiza pesa mingi, why nt use user means za payment.Pole kwa wale waliopatwa na masahibu haya.
lakini kwa nini watu wasitumie mgari yale ya kusafirisha fedha nina hakika sio bei ghali na hata kama hao wa magari watachonga plan ni bora kuliko kupoteza maisha just for money. na kama mtu anaweza kuwa na mafurushi makubwa ya hela am sure they can afford to hire these vehicles
Kuna jamaa mmoja (mhindi pia) namfahamu huwa anabeba si pungufu ya 100M kwenye viroba kupeleka Benki. Ningekuwa mtu wa michongo basi ningekuwa tajiri... he he he he! Haya mambo usiombee uone mwenyewe jamaa wakiyafanya. Unaogopa hata hela kabisaor the more safer way ni kuto deal na cash unless if its petty cash, hasa kama ni biashara inayoingiza pesa mingi, why nt use user means za payment.
or the more safer way ni kuto deal na cash unless if its petty cash, hasa kama ni biashara inayoingiza pesa mingi, why nt use user means za payment.
yaani, hasa polisi wanafanya juhudi gani sa hivi za kufatilizia hao wahuni waliokimbia na hiyo mifwedha, natamani nitoke hata nje nikadodose umbeya lakina naogopa kuotesha kibarua changu magugu.Duh, burungutu jingine limebebwa na wahuni waliokuwa wanatembea maeneo haya. Ni kiwanda cha samaki cha Alpha kwenye kona ya Jet Club kama unaenda mjini tokea Uwanja wa ndege.
na kweli, kwenye bulk teller utakuta ni wahindi tu ndo wamejazana, na ukwepaji kodi nao sijui unachangia,ila siyo mwake kabisa kama ujambazi ndo unarudi kwa kasi, hasa kwa wale wanaofanya kazi zinazohusiana na 'ankara' itabidi kujizatiti.wnapenda ujiko na kutetemekewa kwenye mabank.
Kuna kiwanda cha samaki eneo hili. Dereva alikuwa ni mhindi ametoka kiwandani kuelekea barabarani na amevamiwa baada ya kutoka kwenye geti la kiwanda hicho.
Alikuwa anavuja damu sana na amekimbizwa hospitali haraka
na kweli, kwenye bulk teller utakuta ni wahindi tu ndo wamejazana, na ukwepaji kodi nao sijui unachangia,ila siyo mwake kabisa kama ujambazi ndo unarudi kwa kasi, hasa kwa wale wanaofanya kazi zinazohusiana na 'ankara' itabidi kujizatiti.
yaani, hasa polisi wanafanya juhudi gani sa hivi za kufatilizia hao wahuni waliokimbia na hiyo mifwedha, natamani nitoke hata nje nikadodose umbeya lakina naogopa kuotesha kibarua changu magugu.
Pole w0rM, hope ur nt goin to get nightmares, mimi pia nk karibu na eneo hilo, hopeful i wil get more info later, lakini kwanini mtu usafirishe pesa bila ulinzi wowote, mi nishashuhudia wafanyabiashara wa kihindi wanavyoleta miburungutu ya pesa benki bila ulinzi wowote.
Duh, Jamaa walinyamaza ili kutunga mbinu mpya. Sasa wameibuka tena, hivi ujambazi ni professional au unasababishwa na uvivu au tamaa ya kupata bila kuvuja jasho?