Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Kukua na kuendelea kwa ujambazi Tanzania hata baada ya ahadi za "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" kunaonyesha dhahiri jinsi serikali hii ya chama cha mafisi-maji(CCM) ilivyoshindwa kutekeleza ahadi zake na matokeo yake damu za watanzania zinanendelea kumwagika.