Risasi zikipigwa juu angani uwa zinaenda wapi?

Mkuu sidhani kama upo sahihi ila mimi ninavyojua ni kwamba unapopiga risasi kwenda sehemu yoyote ile kile kizibo chake hutoka au hufyatuka na kuanguka ardhini muda huohuo ila labda inategemeana na aina ya bunduki kama zile kubwa ndo huwa zipo hivyo lakini zile ndogo kama pisto sijawahi kuona vizibo vyake vikitoka mara tu ya kufyatuliwa ndo mimi ninavyoelewa hivyo .
 
Mbona ikipigwa kwenye mwili wa binadamu wakati mwingine huwa inatolewa?
 
Nadhani atakuwa anazungumzia magobore na SMG..risas za bastola hazitoi maganda..!!
 
Wataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer yenye gravitational force kinaishia hukohuko!
 
Zinaenda mbinguni mshenzy wewe, kilasiku maswali ya kipumbav

Wewe acha kumtukana mwenzio... Swali makini kabisa hilo ndo maana umeona watu wenye upeo wamelijibu. Muuliza swali endelea kuuliza maswali yako kama hili usimsikilize huyu.... Umeshaona uwezo wake wa kufikiri ulivyo kama hao wenzake waliojibu ovyo. Achana nao. That's according to their small IQ

WENZAO WALIKUWA WANAJIULIZA KWANI CHUNGWA LIKIDONDOKA LINAKUJA CHINI HALIENDI JUU HAWA WANASEMA MASWALI YA KIPUMBAV..... Shame!
 
Mkuu...mleta mada nae alitakiwa aipeleke General forum kule ndo mahala pake....Chit chat siyo sehemu ambayo watu watajibu kiserious.........Binafsi nabadilika kulingana na jukwaa siwezi. Kuongea pumba/pprojo nikiwa General forum lkn nikiwa Chit chat natumia lugha ya kijiweni
Kumtukana MTU ni dalili ya UJINGA TU bora hata ujibu kwa kutania
 
Kama mlikimbia Physics form 3 msituchoshe basi
 
Hahahahahaha mtoa mada naomba kwanza kutambua kiwango chako Cha elimu ... Hapo darasa la tano linahusika na physics yA form 2....Au ulikua unaenda shule kukua
 
View attachment 324702

mbona hii hapa imebaki nzima kiongozi,
Kuna aina mbalimbali za risasi
Kuna ambazo ndani ni unga
Kuna ambazo ndani ni chembe chembe za unga
Kuna ambazo ndani ni vipande vidogo vidogo vya chuma
Kuna ambazo ndani ni gololi ndogondogo
Hivyo sio zote zinazolipuka
 
Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
umesoma hadi darasa la ngapi?? mbona swali lako ni ka kifala sana?
 
Kuna aina mbalimbali za risasi
Kuna ambazo ndani ni unga
Kuna ambazo ndani ni chembe chembe za unga
Kuna ambazo ndani ni vipande vidogo vidogo vya chuma
Kuna ambazo ndani ni gololi ndogondogo
Hivyo sio zote zinazolipuka
hizo ambazo zikipigwa hazilipuki, zikipigwa angani inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…