Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Uuwiii na log off mpaka utakapomaliza salama hilo zoeziKuna MTU nakutanaga naye maeneo nataka nimchukulie nifanyie kajaribio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuwiii na log off mpaka utakapomaliza salama hilo zoeziKuna MTU nakutanaga naye maeneo nataka nimchukulie nifanyie kajaribio
Sawa mtaniUuwiii na log off mpaka utakapomaliza salama hilo zoezi
Mkuu sidhani kama upo sahihi ila mimi ninavyojua ni kwamba unapopiga risasi kwenda sehemu yoyote ile kile kizibo chake hutoka au hufyatuka na kuanguka ardhini muda huohuo ila labda inategemeana na aina ya bunduki kama zile kubwa ndo huwa zipo hivyo lakini zile ndogo kama pisto sijawahi kuona vizibo vyake vikitoka mara tu ya kufyatuliwa ndo mimi ninavyoelewa hivyo .Risasi ni gamba (shell) linalobeba unga uliochanganywa na vilipuzi hivyo inapotoka kwenye bunduki lile gamba hulipuka(ule mlio unaousikia)
Kwahiyo kama imepigwa kuelekea angani vilipuzi vilivyomo kwenye gamba huteketea na kuishia hewani huku ganda la gamba likirudi ardhini jepesi lisilo na kitu chochote
Ganda la gamba ndio hubeba serial number ya bunduki na aina ya kilipuzi
Mbona ikipigwa kwenye mwili wa binadamu wakati mwingine huwa inatolewa?Risasi ni gamba (shell) linalobeba unga uliochanganywa na vilipuzi hivyo inapotoka kwenye bunduki lile gamba hulipuka(ule mlio unaousikia)
Kwahiyo kama imepigwa kuelekea angani vilipuzi vilivyomo kwenye gamba huteketea na kuishia hewani huku ganda la gamba likirudi ardhini jepesi lisilo na kitu chochote
Ganda la gamba ndio hubeba serial number ya bunduki na aina ya kilipuzi
Nadhani atakuwa anazungumzia magobore na SMG..risas za bastola hazitoi maganda..!!Mkuu sidhani kama upo sahihi ila mimi ninavyojua ni kwamba unapopiga risasi kwenda sehemu yoyote ile kile kizibo chake hutoka au hufyatuka na kuanguka ardhini muda huohuo ila labda inategemeana na aina ya bunduki kama zile kubwa ndo huwa zipo hivyo lakini zile ndogo kama pisto sijawahi kuona vizibo vyake vikitoka mara tu ya kufyatuliwa ndo mimi ninavyoelewa hivyo .
Ndio kwakuwa haikupigwa angani ndio maana imelipukia ndani ya nyama na kuleta madhara yaliyokusudiwaMbona ikipigwa kwenye mwili wa binadamu wakati mwingine huwa inatolewa?
Zinaenda mikumi kuwinda simba.
Zinaenda mikumi kuwinda simba.
Zinaenda mbinguni mshenzy wewe, kilasiku maswali ya kipumbav
Mkuu...mleta mada nae alitakiwa aipeleke General forum kule ndo mahala pake....Chit chat siyo sehemu ambayo watu watajibu kiserious.........Binafsi nabadilika kulingana na jukwaa siwezi. Kuongea pumba/pprojo nikiwa General forum lkn nikiwa Chit chat natumia lugha ya kijiweniWewe acha kumtukana mwenzio... Swali makini kabisa hilo ndo maana umeona watu wenye upeo wamelijibu. Muuliza swali endelea kuuliza maswali yako kama hili usimsikilize huyu.... Umeshaona uwezo wake wa kufikiri ulivyo kama hao wenzake waliojibu ovyo. Achana nao. That's according to their small IQ
WENZAO WALIKUWA WANAJIULIZA KWANI CHUNGWA LIKIDONDOKA LINAKUJA CHINI HALIENDI JUU HAWA WANASEMA MASWALI YA KIPUMBAV..... Shame!
Kama mlikimbia Physics form 3 msituchoshe basiWewe acha kumtukana mwenzio... Swali makini kabisa hilo ndo maana umeona watu wenye upeo wamelijibu. Muuliza swali endelea kuuliza maswali yako kama hili usimsikilize huyu.... Umeshaona uwezo wake wa kufikiri ulivyo kama hao wenzake waliojibu ovyo. Achana nao. That's according to their small IQ
WENZAO WALIKUWA WANAJIULIZA KWANI CHUNGWA LIKIDONDOKA LINAKUJA CHINI HALIENDI JUU HAWA WANASEMA MASWALI YA KIPUMBAV..... Shame!
Zinaenda mbinguni mshenzy wewe, kilasiku maswali ya kipumbav
Ndio kwakuwa haikupigwa angani ndio maana imelipukia ndani ya nyama na kuleta madhara yaliyokusudiwa
Kuna aina mbalimbali za risasi
umesoma hadi darasa la ngapi?? mbona swali lako ni ka kifala sana?Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
hizo ambazo zikipigwa hazilipuki, zikipigwa angani inakuaje?Kuna aina mbalimbali za risasi
Kuna ambazo ndani ni unga
Kuna ambazo ndani ni chembe chembe za unga
Kuna ambazo ndani ni vipande vidogo vidogo vya chuma
Kuna ambazo ndani ni gololi ndogondogo
Hivyo sio zote zinazolipuka
![]()
![]()
Zile ni aina za zinazolipukahizo ambazo zikipigwa hazilipuki, zikipigwa angani inakuaje?