Zile ni aina za zinazolipuka
Ok jibu langu limetofautiana na hiyo link japo hawajasema ni risasi za aina gani na kutoka katika bunduki ya aina gani
wao hawajasema, labda wanazungumzia zile ambazo sio authorized kupigwa anganiOk jibu langu limetofautiana na hiyo link japo hawajasema ni risasi za aina gani na kutoka katika bunduki ya aina gani
TEH! UMEKAWEZAJE HAKA KATOTO?!Zinaenda mikumi kuwinda simba.
UMEMPA JIBU ZURI MNO!Zinaenda mbinguni mshenzy wewe, kilasiku maswali ya kipumbav
Gravitational attraction between to bodies is inversely proportional to square of distance between them. If a body is ejected with sufficiently highWataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer yenye gravitational force kinaishia hukohuko!
Duu umenikumbusha physics way back 1990 gravitational force is equal to.....Gravitational attraction between to bodies is inversely proportional to square of distance between them. If a body is ejected with sufficiently high
velocity i.e. escape velocity it overcomes the earth gravitational field and enters space of zero gravity.
Mkuu uko sahihi kiasi but tambua gravity iko ktk ulimwengu wote yani imepakaa ina tofautiana kutokana na sehemu either ya mars na Earth ziko differ ukitoka nje ya ulimwengu haimaanishi gravity ya dunia haitakuvuta no itakuvuta towards the earth centre huko juu kuna ascending and descending gravity kuna sehemu ina balance na panakuwa weightless kitu kina simama kikiwa apo mpaka kipewe thrust yani kikumbo, So risasi haiwezi kuvuka nje ya dunia ni rocket engine pekee ndo inapita layer hio na kutoka nje ya earth surface risasi inaenda juu km kadhaa tu na kurudi aridhini kwa vile pana gravity inakivuta air resistance ni kubwa ndio maana inarejea mdo mdo but inategemea na mechanisms ya hio gun kuna zingine zinalipuka na kutoa gas mbali mbali ambazo hubakia ktk atmosphereWataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer yenye gravitational force kinaishia hukohuko!