Risasi zikipigwa juu angani uwa zinaenda wapi?

Risasi zikipigwa juu angani uwa zinaenda wapi?

Ok jibu langu limetofautiana na hiyo link japo hawajasema ni risasi za aina gani na kutoka katika bunduki ya aina gani
wao hawajasema, labda wanazungumzia zile ambazo sio authorized kupigwa angani
 
Wataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer yenye gravitational force kinaishia hukohuko!
Gravitational attraction between to bodies is inversely proportional to square of distance between them. If a body is ejected with sufficiently high
velocity i.e. escape velocity it overcomes the earth gravitational field and enters space of zero gravity.
 
Duu umenikumbusha physics way back 1990 gravitational force is equal to.....
 
Wataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer yenye gravitational force kinaishia hukohuko!
Mkuu uko sahihi kiasi but tambua gravity iko ktk ulimwengu wote yani imepakaa ina tofautiana kutokana na sehemu either ya mars na Earth ziko differ ukitoka nje ya ulimwengu haimaanishi gravity ya dunia haitakuvuta no itakuvuta towards the earth centre huko juu kuna ascending and descending gravity kuna sehemu ina balance na panakuwa weightless kitu kina simama kikiwa apo mpaka kipewe thrust yani kikumbo, So risasi haiwezi kuvuka nje ya dunia ni rocket engine pekee ndo inapita layer hio na kutoka nje ya earth surface risasi inaenda juu km kadhaa tu na kurudi aridhini kwa vile pana gravity inakivuta air resistance ni kubwa ndio maana inarejea mdo mdo but inategemea na mechanisms ya hio gun kuna zingine zinalipuka na kutoa gas mbali mbali ambazo hubakia ktk atmosphere
 
Back
Top Bottom