shaqoor-hussein
Member
- Oct 10, 2020
- 16
- 1
habar za muda huu wakuu
nilikuwa naomba msaada jins ya kuandik muhtasari wa wanandugu wasiopungua saba pamoja na vitambulisho vyao hao walio hudhuria kikao cha familia,na kiapo cha mahakama pamoja na muhtasari wa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikithibitisha kutokea kwa kifo naombeni mnisaidie formart ya hiz zote. TThen nina one week ya kuapply mkopo msaada wenu tafadhali