rita death certificate attachment

rita death certificate attachment

Joined
Oct 10, 2020
Posts
16
Reaction score
1
habar za muda huu wakuu
nilikuwa naomba msaada jins ya kuandik muhtasari wa wanandugu wasiopungua saba pamoja na vitambulisho vyao hao walio hudhuria kikao cha familia,na kiapo cha mahakama pamoja na muhtasari wa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikithibitisha kutokea kwa kifo naombeni mnisaidie formart ya hiz zote. TThen nina one week ya kuapply mkopo msaada wenu tafadhali
 
Andika kama kumbukumbu ya kikao ,then ambatanisha majina yasioypungua kumi ya wanaukoo ikiwemo viongozi WA WA uko na sahihi zao, Mimi niliwahi kufanya hivyo
habar za muda huu wakuu
nilikuwa naomba msaada jins ya kuandik muhtasari wa wanandugu wasiopungua saba pamoja na vitambulisho vyao hao walio hudhuria kikao cha familia,na kiapo cha mahakama pamoja na muhtasari wa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikithibitisha kutokea kwa kifo naombeni mnisaidie formart ya hiz zote. TThen nina one week ya kuapply mkopo msaada wenu
 
Back
Top Bottom