Mbona wenzako tuna vyeti vya RITA ambavyo havina hiyo changamoto.Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.
Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
Na ndio ipo hivyo miaka yote sasa hii imekuaje au waliambiwa waandike hivyo yaan waachane na jina la ukoo?Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
Yeah ndio inakua hivi miaka yoteMmh! Mkuu mbona majina ya mtoto unachagua mwenyewe mzazi utake yaweje.
Ndo mana kuna ile tangazo pamoja na fomu ile unajaza ukifika RITA na ndio wanayoifuata namna unataka majina ya mwanao yawe.
Kama mwanao anatumia majina matatu hilo la tatu unaliruka unaandika hilo na ukoo unalolitaka na wenyewe na wanafuata vivyo hivyo.
Au ulikuwa unataka mwanao awe na majina manne?
ni uongoz wao tu kubadilisha huo mfumo!Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.
Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
Hapo bila shaka mwenyewe ndo alichanganya madesa na ilivyo Wababa wengi huwa hamuhangaiki na hayo mambo unakuta siku anataka cheti cha mtoto aliagiza mtu ambaye alipofika kwenye kujaza ile fomu ye aliandika majina kwa namna yanavyofuatana na hilo la ukoo hata hakuhangaika nalo.Yeah ndio inakua hivi miaka yote
Basi itakuwa changamoto ipo kwa hii halmashauri nilipo ombea.Mbona wenzako tuna vyeti vya RITA ambavyo havina hiyo changamoto.
Kabila gani wewe?Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.
Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
MnyakyusaKabila gani wewe?
Nilitaka kuuliza hii.Sasa bwana Jonii mpingo kwenye ujazaji wa details ya mtoto wew si ndo umemjazia? RITA wanatoa vyeti kulingana na maelezo Yako ova.
Upo sahihi kabisa na kuna jamii ni nadra sana tena sana kukuta wanatumia majina ya ukoo na wengine hata majina ya babu zao walishaachana nayo..mfano mzuri ni huko kwa wahaya..unakuta mtoto anaitwa John Rugeiyamu Mathias au John Mathias Rugeiyamu, hapa unakuta jina la John na Rugeiyamu ni majina ya mtoto mwenyewe ambapo jina la Rugeiyamu alipewa punde tu baada ya kutoka tumboni kwa mama kuendana na nyakati alipozaliwa na Mathias ni jina la baba yake...au anaitwa John Mathias Rugeiyamu, hapa unakuta Mathias Rugeiyamu ni majina ya baba yake mwenyewe na hakuna jina la babu hapo au ukoo. Uhayani mara nyingi ukikuta mtoto anaitwa Anitha Kokushubila John basi hapo hakuna jina la babu wala ukoo na wao wanasema wanatumia Jina la Kwanza, La Kati na la mwisho ambalo wengi hilo la mwisho ndilo tunaita ukoo. Ingawa wao wana koo zao kabisa za kama Mushasha, Mukyaija,n.k na wanatambuana kabisa, wakiulizana wewe ni ukoo gani wanatajiana lakini ni nadra kukuta majina hayo ya ukoo/koo yapo kwenye vyeti. Mfano ni kwa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, huyu mama ukimuuliza anaweza kukwambia jina la ukoo tofauti na kinachosomeka kwenye majina yake.Mmh! Mkuu mbona majina ya mtoto unachagua mwenyewe mzazi utake yaweje.
Ndo mana kuna fomu ile unajaza na ndio wanayoifuata namna unataka majina ya mwanao yawe.
Kama mwanao anatumia majina matatu hilo la tatu unaliruka unaandika hilo na ukoo unalolitaka na wenyewe wanafuata vivyo hivyo.
Hapo si ajabu kukuta we mwenyewe ndo ulichemsha.
Sahihi kabisa. Nilipambana nao sana. Wabishi.Habari wote.