bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nao hawa ni hopelessRITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
kiukweli sijawahi kubahatika kujua ni kwa muda gani sahihi hawa watu huchukua mpaka kukamilsha taratibu zao. hii ni kutokana na kuwepo na watu ambao hujibiwa ndani ya wiki moja na nusu, wiki mbili mpaka wiki tatu na zaidi. hivyo nikashindwa kutambua muda sahihi wa hii taasisi ni upi.RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
kama ikitokea wamekujibu kwenye kipengele cha comment utakuta ujumbe huu...Hivi kama wamejibu utajuaje? Kwa mfano ukiangalia kwenye status pale, kutakuwa na nini hasa cha tofauti??