kiukweli sijawahi kubahatika kujua ni kwa muda gani sahihi hawa watu huchukua mpaka kukamilsha taratibu zao. hii ni kutokana na kuwepo na watu ambao hujibiwa ndani ya wiki moja na nusu, wiki mbili mpaka wiki tatu na zaidi. hivyo nikashindwa kutambua muda sahihi wa hii taasisi ni upi.
kama ikitokea wamekujibu kwenye kipengele cha comment utakuta ujumbe huu...
Habari tafadhali pokea majibu kutoka RITA Jinsi ya kupata verification code( bonyeza birth services- certificate verification kisha bonyeza print yenye rangi nyekundu utaona namba iliyopo juu kulia) Asante.RITA