Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,913
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna usumbufu na ubabaishaji mkubwa sana kuhusu suala zima la utoaji vyeti KIBAHA ikiwa mhusika anahitaji kufuata njia halali bila kuwapa rushwa. Lakini wale wanaotoa elfu 30,000 kwa maana ya malipo ya ziada ya shilingi elfu 10 na kuendelea kwa kizazi kilichocheleweshwa kuandikishwa hupata cheti cha kuzaliwa ndani ya siku moja
IKO hivi kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anahitaji cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake ambaye amemaliza kidato cha nne, hivo nikamshauri aombe cheti kwa njia ya mtandao, nilimsaidia kufanya hivo na kweli baada ya kujaza nyaraka zote, cheti kilikuwa vefied ndani ya sku mbili tu na baada ya siku nyingine chache cheti kilikuwa approved na kupewa maelekezo kwenda kukichukuwa mahali alipochagua kuchukulia ambapo ni KIBAHA pia alielekweza kwenda siku ya jumanne au Alhamis
Jumanne ya kwanza ilivofika akaenda, alivofika akaambiwa arudi aende siku ya Alhamisi ya wiki ijayo akiwa na nyaraka zote ambazo aliambatisha wakati wa kufanya maombi. Alhamis ilipofika akaenda na nyaraka kama alivoelekezwa wakazingalia akaambiwa tena aende arudi siku ya Jumanne kwa kuwa ndo siku ya kutoa vyeti. Jumanne , alivoenda kufika akaambiwa nyaraka hazisomeki vizuri hivo akalete original, kumbuka nyaraka hizo hizo walizikagua siku ya kwanza wakasema ziko sawa. Akaambiwa tena arudi Jumanne ambayo ndo leo, leo kaenda anaambiwa akatoe photocopy na apeleke, kafanya hivo lakini mwsho wa siku kaambiwa vyeti havijaprintiwa hivo aende arudi tena siku ya jummane. Yaani ukangalia nauli ambayo ameshatumia ni zaidi ya hiyo elfu 10 wanayotaka
Niwaonye wafanyakazi wa RITA KIBAHA yale makotena yenu pale pembeni ambayo ndo mnatumia kupokelea rushwa tutawapa za moto alafu mjilaumu kwa sababu ya elfu 10 au 20. Nimemwambia jamaa yangu asiwape rushwa na Jumanne tumejipanga kwenda naye tutarekodi kuanzia mazungumzo yote tangu mwanzo mpaka mwisho tutawaletea hela ya Takukuru