muximba
Member
- Oct 24, 2024
- 14
- 26
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI lakini ajabu majina yalikosewa.
MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia wamekosea.
Nchangamoto ni nini kwa hawa watumishi wetu au umakini ni mdogo ikizingatiwa natumia pesa yangu au niwahtaki?
MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia wamekosea.
Nchangamoto ni nini kwa hawa watumishi wetu au umakini ni mdogo ikizingatiwa natumia pesa yangu au niwahtaki?