Umesoma alichoandika? Wamekosea mara mbili. Infact kafanya vizuri sana kuleta malalamiko hapa kwa sababu huu umekuwa kama utamaduni wa sehemu nyingi Tanzania. Watu anajiandikia maneno na majina wanavyotaka wao.huku ndo kwenye msaada? au ofisini kule ndo ungepeleka malalamiko huku sio kila siku unakimbilia mtandaoni
Watanzania wengi hatuna umakini kwenye mambo ya msingi.
Hawa ni kupeleka mahakamani hawa. Makosa wafanye wao halafu wakuambie ulipie? Nadhani huwa wanafanya makusudi ili wapate fedha.unalipia ts 13000/= na huchukua masaa matatu hadi siku.. mara zote wanakuambia nenda utapigiwa simu kurudi uchukue
Hapo unakuta mtu anaandaa cheti cha mtu cha kuzaliwa, huku anachat๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธinasikitisha kwa kweli....
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI lakini ajabu majina yalikosewa.
MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia wamekosea.
Nchangamoto ni nini kwa hawa watumishi wetu au umakini ni mdogo ikizingatiwa natumia pesa yangu au niwahtaki?View attachment 3181517
Ni kufanya kazi kwa mazoea tu serikalini Kuna ujinga mwingi sanaKatika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI lakini ajabu majina yalikosewa.
MARA YA PILI vivyo hivyo nililipia na kuacha MAJINA SAHIHI pia wamekosea.
Nchangamoto ni nini kwa hawa watumishi wetu au umakini ni mdogo ikizingatiwa natumia pesa yangu au niwahtaki?View attachment 3181517