RITA: Sasa unaweza kupata Cheti cha kuzaliwa popote ulipo kidijitali kupitia E-RITA

RITA: Sasa unaweza kupata Cheti cha kuzaliwa popote ulipo kidijitali kupitia E-RITA

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kutumia mfumo wa kidijitali wa E-RITA ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo vyeti vya kuzaliwa na vifo.

Rai hio imetolewa na Afisa usajili kutoka Rita ANDRESA MAGWIRA katika kipindi cha CG MORNING POWER ambapo amesema mfumo huo ni rafiki na urahisisha upatikanaji wa huduma ili kupunguza mzunguko

Amesema Taasisi Hiyo imeweka mazingira wezeshi kwa watoto walio na umri wa chini ya siku tisini kupata vyeti vya kuzaliwa bila malipo katika vituo vya afya na ofisi za maafisa watendaji wa kata.

 
Back
Top Bottom