DOKEZO RITA watakuwa chanzo cha vijana kushindwa kuomba mkopo bodi ya mkopo

DOKEZO RITA watakuwa chanzo cha vijana kushindwa kuomba mkopo bodi ya mkopo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi karibuni yaani Miaka ya 2019-2020.

Mchakato wa mabadiliko haujatolewa elimu kwa Wazazi ambao ndio hasa Wadau wa zoezi hili, jambo ambalo limekuwa ni usumbufu hasa kwa Vijana walioenda JKT maana mzazi hana taarifa zozote kuwa cheti alichonacho hakikubaliki.

Jambo baya zaidi vyeti hivyo vikiombewa verification RITA inakata hela Tsh 6000 kisha inakiverify huku wakijua kabisa hicho cheti ni wao walikitengeneza kwa kuweka jina moja la mtoto, kikija kuingizwa Bodi ya mkopo cheti kinakuwa rejected, ukirudi RITA mtu anambiwa aombe kubadilisha cheti kutoka OLD to NEW.

MASWALI YANGU:
  1. Mna mpango gani wa kutoa elimu kuhusu mabdiliko mnayoyafanya kwa Wananchi?
  2. Kama cheti kimetolewa na RITA, mtu ameomba kuverify kwa nini mkate Tsh 6000 ili hali ni cheti batili?
  3. Vyeti mlivyo vitoa wenyewe na mnataka kuvibadili wenyewe, kwanini mumpe gharama mwananchi ambaye alipata cheti kwa kufuata taratibu zenu zote?
  4. Mifumo yetu ya kutoa vyeti ni lini itatengamaa vijana wapate veti kwa wakati? (kumekuwa na ucheleweshwaji wa zaidi ya wiki 3 hadi mwezi kutoa vyeti kwa sasa tangu mwezi August, hamuoni mnatengeneza mazingira ya Rushwa kwa watu kwenda kuwapigia magoti staff wetu kwenye Wilaya mlipo?
 
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Rita wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi karibuni yaani miaka ya 2019-2020, Mchakato wa mabadidiliko haujatolewa elimu kwa wazazi ambao ndio hasa wadau wa zoezi hili, jambo ambalo limekuwa ni usumbufu hasa kwa vijana walioenda JKT maana mzazi hana taarifa zozote kuwa cheti alichonacho hakikubaliki.

Jambo baya zaidi vyeti hivyo vikiombewa verification RITA inakata hela Tsh 6000 kisha inakiverify huku wakijua kabisa hicho cheti ni wao walikitengeneza kwa kuweka jina moja la mtoto, kikija kuingizwa Bodi ya mkopo cheti kinakuwa rejected, ukirudi RITA mtu anambiwa aombe kubadilisha cheti kutoka OLD to NEW.

MASWALI YANGU.
  1. mna mpango gani wa kutoa elimu kuhusu mabdiliko mnayoyafanya kwa wananchi?
  2. Kama cheti kimetolewa na RITA, mtu ameomba kuverify kwa nini mkate Tsh 6000 ili hali ni cheti batili?
  3. Vyeti mlivyo vitoa wenyewe na mnataka kuvibadili wenyewe, kwanini mumpe gharama mwananchi ambae alipata cheti kwa kufuata taratibu zenu zote?.
  4. Mifumo yetu ya kutoa vyeti ni lini itatengamaa vijana wapate veti kwa wakati? (kumekuwa na ucheleweshwaji wa zaidi ya wiki 3 hadi mwezi kutoa vyeti kwa sasa tangu mwezi August, hamuoni mnatengeneza mazingira ya Rushwa kwa watu kwenda kuwapigia magoti staff wetu kwenye Wilaya mlipo?
nchi ys kishenzi hii, tufanye nini?
 
Back
Top Bottom