RITA, watu kupata vyeti vyao ni haki ya kimsingi tupunguze usumbufu

RITA, watu kupata vyeti vyao ni haki ya kimsingi tupunguze usumbufu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni taasisi niliwahi kuiamini sana sana ila nahisi imevamiwa na vijana wasiojua majukumu yao.

Vijana wakikupokea wanahaha kama vile wanapewa mshahara kesho mpaka unapenda.

Shida unapoanza kupewa tarehe njo siku fulani wapendwa inachosha mbadilike.

Jana nilikuwa na ndugu mmoja tunafwatilia cheti yaani wamama wa pembeni wote walikuwa wanalaani mateso wanayopata.

Sasa umetaka info zote umeletewa, shida nini kumpa mtu cheti chake!

Tupunguze urasimu haya mambo ya kushikana mikono ndiyo tupate vyeti yalishapitwa na wakati.

Mameneja token maofisini nendenen kwenye mabench ulizen wenye shida za msingi muonee kelele zake ....

Mungu awape hofu yake vijana wa leo
 
Umechelewa kujua.

NCHI HII BILA YA MLUNGURA HAUWEZI KUPATA HUDUMA KWA HARAKA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom