Nadhani TRA wanasheria zao wanazotunga maofisini mwao na kila ofisi/wilaya/mkoa inatafisiri, sheria zao tofauti kabisa ndio maana wanapopelekwa mahakamani wanashindwa sana, sehemu kubwa ya kazi zao ni vitisho na mbinu nyingi za unyang'ani hawana culture ya win win stiuation hata customer care mwambie huyo ndg awe chonjo watampotosha wao wenyewe kisha hapo hapo watamzulia mikodi mamillion na vitisho kibao atachanganyikiwa hiyo ndio TRA tunayoijua... utasoma sheria utachanganyikwa....