Ritani za vat thru email

Ritani za vat thru email

laun

Senior Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
111
Reaction score
26
Kuna ulazima wa kupeleka ritani za vat ktk ofisi za tra (w) manually na tena kutuma head office kupitia email.
Nimekuta afisa elimu kwa walipa kodi kamlazimisha ndugu yangu na wafanyabiashara wengine kufanya hivyo,je kuna legal document au tangazo linaloelekeza kufanya hivyo.
 
Nadhani TRA wanasheria zao wanazotunga maofisini mwao na kila ofisi/wilaya/mkoa inatafisiri, sheria zao tofauti kabisa ndio maana wanapopelekwa mahakamani wanashindwa sana, sehemu kubwa ya kazi zao ni vitisho na mbinu nyingi za unyang'ani hawana culture ya win win stiuation hata customer care mwambie huyo ndg awe chonjo watampotosha wao wenyewe kisha hapo hapo watamzulia mikodi mamillion na vitisho kibao atachanganyikiwa hiyo ndio TRA tunayoijua... utasoma sheria utachanganyikwa....
 
Back
Top Bottom