mtu asisifiwe?? Khaa
We unakalia kusifu tu! Huo u-super star wa kulazmisha utawapeleka kuzimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu asisifiwe?? Khaa
We unakalia kusifu tu! Huo u-super star wa kulazmisha utawapeleka kuzimu.
Angekuwa mzuri si angekuwa na mume?
]nani kawambia[/COLOR] kila mwanamke anahitaji mume
Angekuwa mzuri si angekuwa na mume?
Angekuwa mzuri si angekuwa na mume?
Angekuwa mzuri si angekuwa na mume?
Wewe mbona sura kama wassira lakini una mume? Unadhani kuolewa ni uzuri? Rita akitaka kuolewa hata leo hii anaolewa. Wewe kama unadhani kuolewa ni big deal mbona umeolewa na bado ni masikini wa kutupwa? Fikiria kabla hujaandika uharo wako hapa. Rita ni mbunifu na ni mwanamke anayejiamini.
Huo ndo ukweli, ila madada wengi ni kunguru wasofugika.Mwanamke mzuri ni lazma uwe na mume!!!
Vibibi vinapgwa tu, kama jalala la kutupa taka!!!!!!
nani kawambia kila mwanamke anahitaji mume
acha vizuri visifiwe,kama hupendi kivyako
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.
![]()
Kujikoboa ngozi na nywele za katani ndo uzuri? Kama hyu ndo mzuri kwako spati pcha sura yako ilvo ngumu.
Na nani amwoe huyu bibi ama labda yy ndo amwoe ''mwanaume wa kiume'' kijana ukamwoe Ritha? mbona hata haiji
Inakuja sana hasa ATM yake ikiwa imetuna.