Ritha Poulsen si mchezo

Ndo mwimba kwaya wa dhehebu gan huyu wadau?
 
Mwanamke mzuri ni lazma uwe na mume!!!


Vibibi vinapgwa tu, kama jalala la kutupa taka!!!!!!
 
Angekuwa mzuri si angekuwa na mume?

Wewe mbona sura kama wassira lakini una mume? Unadhani kuolewa ni uzuri? Rita akitaka kuolewa hata leo hii anaolewa. Wewe kama unadhani kuolewa ni big deal mbona umeolewa na bado ni masikini wa kutupwa? Fikiria kabla hujaandika uharo wako hapa. Rita ni mbunifu na ni mwanamke anayejiamini.
 

Kichwa cha mwendawazimu kila mtu hujifunzia kunyoa. Pole mwanamke kaumbwa apate mwenza wa jinsia tofauti. Wengi kama wewe wenye tabia za kunguru msofugika huwa jamvi la wageni. Utajifariji kuwa kuolewa so dili endapo wewe ni msagaji na si vinginevo. Pole kwa frustration, we endelea kujisaga.
 
Na nani amwoe huyu bibi ama labda yy ndo amwoe ''mwanaume wa kiume'' kijana ukamwoe Ritha? mbona hata haiji
 
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.


Huyu ni yule shemeji yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…