Ritha Poulsen si mchezo

loh mpaka mipovu inakutoka, wivu tu huo

Bilashaka we ni housegil wake. Kuwa mpole huo ndo ukweli unaopewa kuhusu boss wako. Usiogope kusema ukweli kuhofia kibarua, akikutimua kazi ntakuajiri kwenye baa yangu uje uburudishe wateja wangu kwa huduma yako.
 
nani kawambia kila mwanamke anahitaji mume

Kila mwanamke anahitaji mume na kila kila mwanamme anahitaji mke,lakini sio kila mwanamke anataka mume na sio kila mwanaume anataka,nimeona nikurekebishe lugha,lakini tupo kurasa moja zury,wewe bila shaka ni mzuri.
 
Bilashaka we ni housegil wake. Kuwa mpole huo ndo ukweli unaopewa kuhusu boss wako. Usiogope kusema ukweli kuhofia kibarua, akikutimua kazi ntakuajiri kwenye baa yangu uje uburudishe wateja wangu kwa huduma yako.

msonyoo.ndo maana hauendelei kwa roho mbaya yako na hautamfikia
 
pamoja sana mkuu. Kwenye uzuri kweli nalipa.lol
 
Bilashaka we ni housegil wake. Kuwa mpole huo ndo ukweli unaopewa kuhusu boss wako. Usiogope kusema ukweli kuhofia kibarua, akikutimua kazi ntakuajiri kwenye baa yangu uje uburudishe wateja wangu kwa huduma yako.

mdada umetishaaa...
 
msonyoo.ndo maana hauendelei kwa roho mbaya yako na hautamfikia

Hujui kuwa roho nzuri yako ndo imekufanya ukawa "kunguu"? We mwenye roho nzuri endelea kukarimu vijana wetu.
 
watuwache tupumuwe n waume zetu! Kama ingekuwa rahisi kuwa na mume na ye angekuwa na wake ndani! Tena watuwacheeeeeeeee..........!!! Ebo!
 
Afadhali useme! watu wanapenda sana justification nyepesiiiiii za kutokuolewa/kuoa!

Zipo zinazoeleweka lakini nyingi ni za kujipa moyo tu!

Acheni kujipa vijisababu kama unaajira ya uhakika bila kujali kipato tafuta mwenza mfanye maisha ache majibu ya jumla ya mara ndoa za siku hizi!!! sababu kibaoooo ukishtuka jioni! kwisha habari yako!!!
 
Kila mwanamke anahitaji mume na kila kila mwanamme anahitaji mke,lakini sio kila mwanamke anataka mume na sio kila mwanaume anataka,nimeona nikurekebishe lugha,lakini tupo kurasa moja zury,wewe bila shaka ni mzuri.

Bila shaka haya ni maandiko toka mpenzi wa ile timu ya mpira ya recreativo club de LIBOLO
 
loh mpaka mipovu inakutoka, wivu tu huo
Wivu ni kidonda ukishiriki unakonda, ona povu linavyomtoka jaman.....huyu atakuwa kyln si bure, ya nini kutokwa povu hvo kwa mtu kutajwa na kusifiwa tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…