M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,079 Mar 8, 2022 #21 Mr Dudumizi said: Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Japo naunga mkono serikali iliyopo madarakani. Click to expand... Mku mm ni mwanaccm mtifu kwa anayetenda haki. Ila ni muhimu kuwa mwanachama wa Chama kwani kuna Mambo yanakupita ktk maamuzi ktk jamii na ndani ya Chama usijiweke nyuma
Mr Dudumizi said: Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Japo naunga mkono serikali iliyopo madarakani. Click to expand... Mku mm ni mwanaccm mtifu kwa anayetenda haki. Ila ni muhimu kuwa mwanachama wa Chama kwani kuna Mambo yanakupita ktk maamuzi ktk jamii na ndani ya Chama usijiweke nyuma