Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, [B]Ritz[/B] na [B]FaizaFoxy[/B]. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.
Kwa sasa tunaye Rais John Pombe Magufuli na kama ilivyotegemewa wanaovuja damu Rais Magufuli akichomwa mkuki wapo tele mojawapo akiwa [B]Nyani Ngabu[/B].
Wakati [B]FaizaFoxy[/B] bado anachunguliachungulia, [B]Ritz[/B] kapotea na juhudi zangu zote za kumtafuta zimegonga mwamba na hivyo nimelazimika kutoa ombi...
Mkuu [B]Ritz[/B], uko wapi? Au nawe umepotea/umepotezwa kama mdogo wetu [B]Ben Saanane[/B]. Kwa wana JF (sio hawa viwavi vya sasa) nisaidieni kumtafuta mtani wangu [B]Ritz[/B].
Na kwa [B]FaizaFoxy[/B], naomba kama una habari yoyote na kilichomsibu [B]Ritz[/B] tafahamishe tafadhali, I miss mtani na mdogo mdogo wangu [B]Ritz[/B]...!