Ritz uko wapi.. FaizaFoxy nitoe mashaka - Je, pacha wako yuko wapi?

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, [B]Ritz[/B] na [B]FaizaFoxy[/B]. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.

Kwa sasa tunaye Rais John Pombe Magufuli na kama ilivyotegemewa wanaovuja damu Rais Magufuli akichomwa mkuki wapo tele mojawapo akiwa [B]Nyani Ngabu[/B].

Wakati [B]FaizaFoxy[/B] bado anachunguliachungulia, [B]Ritz[/B] kapotea na juhudi zangu zote za kumtafuta zimegonga mwamba na hivyo nimelazimika kutoa ombi...

Mkuu [B]Ritz[/B], uko wapi? Au nawe umepotea/umepotezwa kama mdogo wetu [B]Ben Saanane[/B]. Kwa wana JF (sio hawa viwavi vya sasa) nisaidieni kumtafuta mtani wangu [B]Ritz[/B].

Na kwa [B]FaizaFoxy[/B], naomba kama una habari yoyote na kilichomsibu [B]Ritz[/B] tafahamishe tafadhali, I miss mtani na mdogo mdogo wangu [B]Ritz[/B]...!
 
Abbasmzee egyptian nae pia hayupo, na mzee wangu said, ila watarudi humu dau atakapofikishwa kisutu ili wamuombee dhamana
 
Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, [B]Ritz[/B] na [B]FaizaFoxy[/B]. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu.

Kwa sasa tunaye Rais John Pombe Magufuli na kama ilivyotegemewa wanaovuja damu Rais Magufuli akichomwa mkuki wapo tele mojawapo akiwa [B]Nyani Ngabu[/B].

Wakati [B]FaizaFoxy[/B] bado anachunguliachungulia, [B]Ritz[/B] kapotea na juhudi zangu zote za kumtafuta zimegonga mwamba na hivyo nimelazimika kutoa ombi...

Mkuu [B]Ritz[/B], uko wapi? Au nawe umepotea/umepotezwa kama mdogo wetu [B]Ben Saanane[/B]. Kwa wana JF (sio hawa viwavi vya sasa) nisaidieni kumtafuta mtani wangu [B]Ritz[/B].

Na kwa [B]FaizaFoxy[/B], naomba kama una habari yoyote na kilichomsibu [B]Ritz[/B] tafahamishe tafadhali, I miss mtani na mdogo mdogo wangu [B]Ritz[/B]...!
Inawezekana wametumbuliwa walikuwa na vyeti feki!
 
Back
Top Bottom