Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Mozu1991

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
500
Reaction score
450
Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani?

=======

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.

Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga

28' Rivers United 0-0 Yanga SC

40' Milango bado migumu kwa timu zote

45' Mpira umeenda mapumziko, Rivers UTD 0-0 Yanga

FT: Rivers United 1-0 Yanga SC (Aggr: 2-0)

Yanga.JPG
 
Rivers United wamegoma kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja. Labda Yanga wenyewe waamue kujiongeza kwa kurusha kupitia mitandao ya kijamii kama walivyofanya Simba kwenye mechi yao dhidi ya plateau United msimu uliopita
 
Wanaogopa kuchekwa vile wanakazana kupindua meza inawashinda
 
Tupeane update hii mechi haioneshwina kituo chochote cha kurusha matangazo

=======

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.

Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga

28' Rivers United 0-0 Yanga SC

40' Milango bado migumu kwa timu zote

45' Mpira umeenda mapumziko, Rivers UTD 0-0 Yanga

FT: Rivers United 1-0 Yanga SC (Aggr: 2-0)

Yanga.JPG
 
Sawa naona Yanga wamegoma kupokea majibu ya covid ngoja tuone km wataingia uwanjani
 
Yanga wasusia mechi huko. Diara, Yakuba, Feisal na Mukoko wanakorona huko, wanatakiwa waende karantini hadi wiki ijayo.

Pia kama kawaida yao wamegoma kuingia vyumbani uwanjani, wamevalia jezi uwanjani. Na warijaribu kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta wakashindwa.

Wapo uwanjani, wamepaniki, Haji Manara anasema HATUCHEZI.
 
Back
Top Bottom