Wanaogopa kuchekwa vile wanakazana kupindua meza inawashindaRivers United wamegoma kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja. Labda Yanga wenyewe waamue kujiongeza kwa kurusha kupitia mitandao ya kijamii kama walivyofanya Simba kwenye mechi yao dhidi ya plateau United msimu uliopita
Wapompo huwa hawaonyeshi ili wafanye figisu bila kuonekanaRivers United wamegoma kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja. Labda Yanga wenyewe waamue kujiongeza kwa kurusha kupitia mitandao ya kijamii kama walivyofanya Simba kwenye mechi yao dhidi ya plateau United msimu uliopita
AzamHabarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gan?
Nauaweza yote katika yeye anitiae nguvu,wafilipi 14 .Kama mtu maombi na una imani isiyo na shaka mbele za Mungu yote yanawezekana.Kwa imani yangu mimi leo Yanga inashinda na kupindua meza.Naitakia ushindi timu yangu ya Yanga. Ingawa natambua fika uwezekano wa kupindua meza ni mdogo kweli kweli.
Nayaweza yoteNauaweza yote katika yeye anitiae nguvu,wafilipi 14 .Kama mtu maombi na una imani isiyo na shaka mbele za Mungu yote yanawezekana.Kwa imani yangu mimi leo Yanga inashinda na kupindua meza.
Nakupa pole mapemaAll the best yanga.