Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Huko Nigeria majibu ya covid bado hayajatoka na mchezo unatakiwa uanze baada ya dkk 10 🤣🤣
 
Yanga wasusia mechi huko. Diara, Yakuba, Feisal na Mukoko wanakorona huko, wanatakiwa waende karantini hadi wiki ijayo.

Haji Manara anasema HATUCHEZI.
Hahaaaaaaa acha nicheke mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanasusa km malaya wa kimboka.
 
Update mpaka sasa
River Utd 3-0 Mama J fc
Dk ya 76 : na sk53

Dakika za utopolo hizo kupinduliwa kwenye meza
 
Reactions: BAK
Huko Nigeria majibu ya covid bado hayajatoka na mchezo unatakiwa uanze baada ya dkk 10 [emoji1787][emoji1787]
Majibu yametoka. Timu ya yanga wanalalamika na kukataa kuyapokea majibu hayo kwasababu
1) vipimo vimefanyika tokea jana lakini majibu wanaletea dakika kadhaa kabla mechi kuanza
2) wamehitaji certificate ya majibu ili kuthibitisha lakini wameambiwa certificate za majibu hakuna.
3) Diarra kaambiwa ana corona wakati huyo huyo Diarra amepokea majibu yake kwanjia ya mtandao na kuonekana yupo negative.
4) kuna wachezaji wanatakiwa kufanyia test tena muda huu lakini maabala haipo hapo uwanjani.
 
Ndugu zetu wanaijeria wana fanya mazoezi ndio maana hawataki waandishi wa habari
 
Mechi imeanza dkk ya 15bilabila
 
Walosema wana corona mbona ndo wameanza kwenye kikosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…