Rivers United washangilia: Mnyonge wao amejikuta katumbukia kwenye 18 yao!!

Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
Hiyo furaha yao, muda si mrefu itageuka na kuwa huzuni kubwa.

Hata Tp Mazembe walikuwa wanajipigia tu timu za Bongo. Lakini safari hii wamekiona cha mtema kuni kutoka kwa wananchi.
 
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
wapuuzi yanga tunajipanga na kujitayarisha sawasawa,ili tuwapige nje ndani
 
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
Hata Mazembe walikuwa na hiyo 'advantage'. Kilichowapata unakijua
 
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
Hata Township dollars waliifunga yanga,msimu unaofata yanga ya kina balinya walilipiza kisasi
 
Anajua lolote linaweza kumtokea bingwa kama Zamalek ilivyomtokea.
Anajua kuwa Timu namba moja Afrika na iliyokuwa ya 3 duniani mwaka huo,ilipoteza mchezo dhidi ya Simba kwa Mkapa.

Mengine jifurahisheni tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwanini aende kuhangaika mbali kote huko wakati ana notice za mdogo wake Raja Casablanca

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
Wako wapi hao rivers wanaoshangilia!?
 
Back
Top Bottom