Rivers United yamsajili Nyimwa Nwagua

Rivers United yamsajili Nyimwa Nwagua

Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars

hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi kabla hajafika kwenye six yard likapiga kichwa lilishawahi kupiga shuti likavunja goal post, kuna kipa wa palteau utd alijifanya mbishi kudaka shuti lake akavunjika mkono na figo iliharibika kabisa. KARIBUNI TZ RIVERS UTD

Tarhe 11 pale uwanja wa taifa Rivers utd tuna jambo letu. GOD BLESS NIGERIA GOD BLESS RIVERS UTD

View attachment 1901598
Yaani nicheka sana, umeeleweka, huko Morroco Mnyama 2 na Far Rabbat 2, Dilunga na Ousmane Sakho wametikisa nyavu
 
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars

hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi kabla hajafika kwenye six yard likapiga kichwa lilishawahi kupiga shuti likavunja goal post, kuna kipa wa palteau utd alijifanya mbishi kudaka shuti lake akavunjika mkono na figo iliharibika kabisa. KARIBUNI TZ RIVERS UTD

Tarhe 11 pale uwanja wa taifa Rivers utd tuna jambo letu. GOD BLESS NIGERIA GOD BLESS RIVERS UTD

View attachment 1901598
Kwa njemba hizi utopolo ataishi getini
 
Huyu ni mbeba mizigo, mule hakuna mpira.
 
Back
Top Bottom