Pengine walitaka wawaue kabisa na sio kuwadhoofisha tu, manaake haileti sense muda wote huo kabla ya mechi.Unampulizia mtu dawa huku ulishamfunga bao 2 kwao?
Hiyo dawa unaipuliza zaidi ya masaa 24 kabla ya mechi ni dawa gani hiyo?
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Wameingia kwenye basi kukagua bila kuvaa mask!
Wanigeria wanachekesha sana. Alafu wamepewa basi zuri sana.
Cheki basi walilopatiwa Yanga kule Nigeria.
View attachment 2604403
Huyo hapo pembeni sijui ni Job, naona anashangaa shangaa tu kwa basi walilopanda!
View attachment 2604534
Wale wa Nigeria ni wapuuzi kwelikweli mtu alishakufunga halafu akuwekee dawa how! Halafu ina maana walipoingia uwanjani walienda wote how! Na hawa waandishi wanaosambaza huu uvumi mbona hawatuoneshi Hta picha za hilo basi!Pengine walitaka wawaue kabisa na sio kuwadhoofisha tu, manaake haileti sense muda wote huo kabla ya mechi.
Kuna kiasi cha juu mtu kuwa nacho anapopita Airport hotel checkout ni mtandao waache maigizoKlabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Ninyi mlikuwa mnawapulizia wakiwa wamewafunga tu?utopopolo mmeshaanza vituko vyenu. mnaongoza magoli mawili lkn bado mnapulizia sumu wapinzan..
Figisu zimeanzaKlabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Sijaangalia Sheria lakini bila shaka itakuwa inazuia mtu sio timu. Na kama mtu sirahisi kwa sababu hicho kiasi kisichoruhusiwa kinaweza kugawanywa kila mtu akapita na kiasi kinachoruhusiwa wakifika wanapoenda zinakusanywa.Kuna kiasi cha juu mtu kuwa nacho anapopita Airport hotel checkout ni mtandao waache maigizo
Kitengo cha Ant Money Laundering kamata hao wahalifu
Kwahiyo umeconfirm alieiba ni shabiki wa Yanga? Maana kwenye umati wa watu kuna mengi ndani yake.Suala la kupuliziwa sumu sidhani, lakini suala la kuiba pesa inawezekana ni kweli kwa sababu kuna kipindi cha nyuma kuna timu ilikuja kucheza na Simba mashabiki wa utopolo wakaenda kuwapokea uwanja wa ndege baada ya muda wachezaji wakalalamika kuibiwa simu.
Unafikiri wana akili za kufikiria hivyo basiii?Sijaangalia Sheria lakini bila shaka itakuwa inazuia mtu sio timu. Na kama mtu sirahisi kwa sababu hicho kiasi kisichoruhusiwa kinaweza kugawanywa kila mtu akapita na kiasi kinachoruhusiwa wakifika wanapoenda zinakusanywa.
Kama zile kilo 20 au 30 za kwenye ndege mkisafiri kwa kikundi.
Wachawi wakubwa haooo...Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Wapumbavu sana...Wameingia kwenye basi kukagua bila kuvaa mask!
Wanigeria wanachekesha sana. Alafu wamepewa basi zuri sana.
Cheki basi walilopatiwa Yanga kule Nigeria.
View attachment 2604403
Huyo hapo pembeni sijui ni Job, naona anashangaa shangaa tu kwa basi walilopanda!
View attachment 2604534
Dereva siyo mlinzi. Mnatakiwa muwapatie na watu wa kulinda usalama wao na mali zao, acheni kufanya mambo kienyeji.Hivi vinaijeria vipuuzi kweli kweli kwa hiyo na dereva na yeye akaenda kufanya masoesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji24]
Una uhakika hawajapewa ? Au unaongea tu kama popoma hapa mkuuDereva siyo mlinzi. Mnatakiwa muwapatie na watu wa kulinda usalama wao na mali zao, acheni kufanya mambo kienyeji.
Wangekuwa wamepewa huo uhalifu usingetokea na wewe usingeulizia kuhusu dereva badala ya walinzi.Una uhakika hawajapewa ? Au unaongea tu kama popoma hapa mkuu
Kwahio wewe akili yako imeamini yanga imefanya hiiWangekuwa wamepewa huo uhalifu usingetokea na wewe usingeulizia kuhusu dereva badala ya walinzi.