Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

Unampulizia mtu dawa huku ulishamfunga bao 2 kwao?
Hiyo dawa unaipuliza zaidi ya masaa 24 kabla ya mechi ni dawa gani hiyo?
Pengine walitaka wawaue kabisa na sio kuwadhoofisha tu, manaake haileti sense muda wote huo kabla ya mechi.
 
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

View attachment 2604249

29 April 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Rivers United FC Official claims that the bus was burgled, sprayed with toxic chemical

CAFCC: Rivers United FC Bus Burgled, Sprayed With Toxic Chemical Barely 24 hours to the kick-off of the TotalEnergies CAF Confederation's Cup quarter final 2nd leg tie in Dar es Salam, Rivers United’s team bus has been burgled and valuables worth thousands of dollars stolen.

The Pride of Rivers while completing their final training session ahead of the clash against Young Africans of Tanzania noticed that their team bus has been broken into and sprayed with toxic chemicals and a sum of $5,250 is missing.

On ground to witness the horrible incident are CAF General Coordinator, Ali Nwebe (Uganda), CAF Head of Security, Jamil Bawalaggana Mpagi (Uganda) who have confirmed that a toxic chemical was sprayed in the bus.

Rivers United have petitioned CAF as they await further action from the football ruling body.

(C) Rivers United Media 29th April, 2023

Source : Rivers United FC
 
Muonekano wa ndani wa bus la kisasa na kifahari maalum kuhudumia timu ya Rivers United wakiwa Dar es Salaam, Tanzania

Wameingia kwenye basi kukagua bila kuvaa mask!

Wanigeria wanachekesha sana. Alafu wamepewa basi zuri sana.

Cheki basi walilopatiwa Yanga kule Nigeria.
View attachment 2604403

Huyo hapo pembeni sijui ni Job, naona anashangaa shangaa tu kwa basi walilopanda!

View attachment 2604534

Wa Nigeria ni washamba walipoona bus la kisasa na kifahari walilopewa jijini Dar es Salaam bila kusahau uwanja

Benjamin Mkapa stadium in Dar es Salaam, Tanzania where Young Africans will play against Rivers United FC today at 18:00 hrs local EAT.
1682856899257.png
 
Pengine walitaka wawaue kabisa na sio kuwadhoofisha tu, manaake haileti sense muda wote huo kabla ya mechi.
Wale wa Nigeria ni wapuuzi kwelikweli mtu alishakufunga halafu akuwekee dawa how! Halafu ina maana walipoingia uwanjani walienda wote how! Na hawa waandishi wanaosambaza huu uvumi mbona hawatuoneshi Hta picha za hilo basi!
Dawa gani inafanya kazi masaa 24
Watuache bhana
 
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

View attachment 2604249
Kuna kiasi cha juu mtu kuwa nacho anapopita Airport hotel checkout ni mtandao waache maigizo
Kitengo cha Ant Money Laundering kamata hao wahalifu
 
Figisu zimeanza
 
Kuna kiasi cha juu mtu kuwa nacho anapopita Airport hotel checkout ni mtandao waache maigizo
Kitengo cha Ant Money Laundering kamata hao wahalifu
Sijaangalia Sheria lakini bila shaka itakuwa inazuia mtu sio timu. Na kama mtu sirahisi kwa sababu hicho kiasi kisichoruhusiwa kinaweza kugawanywa kila mtu akapita na kiasi kinachoruhusiwa wakifika wanapoenda zinakusanywa.
Kama zile kilo 20 au 30 za kwenye ndege mkisafiri kwa kikundi.
 
Suala la kupuliziwa sumu sidhani, lakini suala la kuiba pesa inawezekana ni kweli kwa sababu kuna kipindi cha nyuma kuna timu ilikuja kucheza na Simba mashabiki wa utopolo wakaenda kuwapokea uwanja wa ndege baada ya muda wachezaji wakalalamika kuibiwa simu.
Kwahiyo umeconfirm alieiba ni shabiki wa Yanga? Maana kwenye umati wa watu kuna mengi ndani yake.
 
Sijaangalia Sheria lakini bila shaka itakuwa inazuia mtu sio timu. Na kama mtu sirahisi kwa sababu hicho kiasi kisichoruhusiwa kinaweza kugawanywa kila mtu akapita na kiasi kinachoruhusiwa wakifika wanapoenda zinakusanywa.
Kama zile kilo 20 au 30 za kwenye ndege mkisafiri kwa kikundi.
Unafikiri wana akili za kufikiria hivyo basiii?
 
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

View attachment 2604249
Wachawi wakubwa haooo...
 
Hivi vinaijeria vipuuzi kweli kweli kwa hiyo na dereva na yeye akaenda kufanya masoesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji24]
 
Dereva siyo mlinzi. Mnatakiwa muwapatie na watu wa kulinda usalama wao na mali zao, acheni kufanya mambo kienyeji.
 
Back
Top Bottom