Sasa kama mashabiki wa yanga ndo walienda kuwapokea sasa walaumiwe akina nani?Kwahiyo umeconfirm alieiba ni shabiki wa Yanga? Maana kwenye umati wa watu kuna mengi ndani yake.
Wanaweka milioni kwenye basi ufunguo walibaki nao?Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Huo ni msala wenu hadi Supersport wanauongelea tena gemu hata haijaanza.Kwahio wewe akili yako imeamini yanga imefanya hii
Ukirejea uongo wa hawa jamaa 2021
Kelele za nini..mpira si dk 90 kusubiri matokeo ya uwanjani ni kuonyesha ukomavu..au mmesahau ya Taifa stars na Uganda cranes, kutangulia si kufika..dk 90 ndio msemakweli, badilikeni watz, kila mtu mdomo unawasha kukashifu wengine mwisho wa mchezo mmefungwa..Tanzania inakuwa km nchi ya majuha tu, maneno meeengi, kumbe upuuzi mtupu.Hao wanaigeria urojo mtupu, wanataka pointi za mezani tu za uwanjani zimeshawashinda..
Sasa wewe ndio unawafundisha..si umeona walitoa taarifa kwa head wa security wa CAF alyekuja kwa ajili ya mchezo pengine akaingia hata kwenye gari ili kuthibisha madai..hakuna haja ya kukashifu na kubeza watu, CAF watatoa majibu ya madai.Issue ya kusema umepuliziwa sumu ni lazima iwe na vivid evidence na hasa Scientific evidence na sio maneno tu,
Wametumia kipimo gani kutambua kua wamepuliziwa sumu? evidence ya result ya kipimo iko wapi?
Hili jambo sio lakulichukulia kishabiki coz linaharibu taswira ya nchi.
Sasa wewe mtu mwenyewe unaandika pengine yani huna hata uhakika na unachokisema! Hiyo taarifa wewe umeiona? Umeona kua ina scientific evidence kuprove kua kulikua na sumu? Hata kama huyo security wa CAF aliingia ndani ya basi,je alithibitishaje kua kuna sumu? Hivi vitu vinahitaji vivid evidence na sio maneno tu,Sasa wewe ndio unawafundisha..si umeona walitoa taarifa kwa head wa security wa CAF alyekuja kwa ajili ya mchezo pengine akaingia hata kwenye gari ili kuthibisha madai..hakuna haja ya kukashifu na kubeza watu, CAF watatoa majibu ya madai.
Sawa, taarifa iliyowekwa hapa ni Rivers kuwajulisha CAF madai ya kuwekewa sumu, anayetakiwa kutoa scientific evidence ni Rivers, Yanga au CAF? Kama sumu ni spray inayosambaa na kwisha baada ya muda mfupi kwa hali hiyo Rivers wakisema wamepuliziwa sumu kwenye gari, ni scientific evidence ipi ndio utaiamini na nani aitoe..Sasa wewe mtu mwenyewe unaandika pengine yani huna hata uhakika na unachokisema! Hiyo taarifa wewe umeiona? Umeona kua ina scientific evidence kuprove kua kulikua na sumu? Hata kama huyo security wa CAF aliingia ndani ya basi,je alithibitishaje kua kuna sumu? Hivi vitu vinahitaji vivid evidence na sio maneno tu,
Halafu wapi nimebeza na kukashifu?
Soma tena comment yangu na uzingatie alama za question mark,sio kila anayechangia hapa basi anachangia kwa ushabiki wa kiteam.
Umechanganya madesa, ni MO ndiye aliyeibiwa simu na mashabiki wa Simba akiwa uwanjani siku ya Simba day..Sasa kama mashabiki wa yanga ndo walienda kuwapokea sasa walaumiwe akina nani?
Mashabiki wa yanga wengi ni vibaka walisha wahi muibia pochi hadi bosi wao injinia Hersi.
Ni lini kutembea na pesa ilianza kuwa kosa kisheria?uwezo wako wa kufikiria ni mdogo, Yanga wanahusika nini na ulinzi wa mali zao? wana kampuni ya ulinzi? miaka hii unatembea na hela kwenye gari kwanini wasiache Hotel walipofikia?
Uliishia darasa la ngapi? haujuii kutembea na pesa nyingi cash ni kosa kisheria?Ni lini kutembea na pesa ilianza kuwa kosa kisheria?
Ni sheria ipi inazuia mtu kutembea na dola 5000?Uliishia darasa la ngapi? haujuii kutembea na pesa nyingi cash ni kosa kisheria?