Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

Kwahiyo umeconfirm alieiba ni shabiki wa Yanga? Maana kwenye umati wa watu kuna mengi ndani yake.
Sasa kama mashabiki wa yanga ndo walienda kuwapokea sasa walaumiwe akina nani?
Mashabiki wa yanga wengi ni vibaka walisha wahi muibia pochi hadi bosi wao injinia Hersi.
 
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

View attachment 2604249
Wanaweka milioni kwenye basi ufunguo walibaki nao?

Vv
 
Kwahio wewe akili yako imeamini yanga imefanya hii

Ukirejea uongo wa hawa jamaa 2021
Huo ni msala wenu hadi Supersport wanauongelea tena gemu hata haijaanza.

Nyie si ndiyo tulipokuwa tunawaambia gemu iliyopita hao Wanigeria hawana lolote mlikuwa mnawasifia kuwa ni timu kubwa iliyowafunga Wydad. Leo ndiyo mnawaona wahuni?
 
Hao wanaigeria urojo mtupu, wanataka pointi za mezani tu za uwanjani zimeshawashinda..
Kelele za nini..mpira si dk 90 kusubiri matokeo ya uwanjani ni kuonyesha ukomavu..au mmesahau ya Taifa stars na Uganda cranes, kutangulia si kufika..dk 90 ndio msemakweli, badilikeni watz, kila mtu mdomo unawasha kukashifu wengine mwisho wa mchezo mmefungwa..Tanzania inakuwa km nchi ya majuha tu, maneno meeengi, kumbe upuuzi mtupu.
 
Issue ya kusema umepuliziwa sumu ni lazima iwe na vivid evidence na hasa Scientific evidence na sio maneno tu,

Wametumia kipimo gani kutambua kua wamepuliziwa sumu? evidence ya result ya kipimo iko wapi?

Hili jambo sio lakulichukulia kishabiki coz linaharibu taswira ya nchi.
Sasa wewe ndio unawafundisha..si umeona walitoa taarifa kwa head wa security wa CAF alyekuja kwa ajili ya mchezo pengine akaingia hata kwenye gari ili kuthibisha madai..hakuna haja ya kukashifu na kubeza watu, CAF watatoa majibu ya madai.
 
Sasa wewe mtu mwenyewe unaandika pengine yani huna hata uhakika na unachokisema! Hiyo taarifa wewe umeiona? Umeona kua ina scientific evidence kuprove kua kulikua na sumu? Hata kama huyo security wa CAF aliingia ndani ya basi,je alithibitishaje kua kuna sumu? Hivi vitu vinahitaji vivid evidence na sio maneno tu,

Halafu wapi nimebeza na kukashifu?

Soma tena comment yangu na uzingatie alama za question mark,sio kila anayechangia hapa basi anachangia kwa ushabiki wa kiteam.
 
Me sio shabiki wa yanga ila siwaamini wapopo hata siku moja,hao jamaa ni matapeli dunia nzima inajua
 
Sasa wewe mtu mwenyewe unaandika pengine yani huna hata uhakika na unachokisema! Hiyo taarifa wewe umeiona? Umeona kua ina scientific evidence kuprove kua kulikua na sumu? Hata kama huyo security wa CAF aliingia ndani ya basi,je alithibitishaje kua kuna sumu? Hivi vitu vinahitaji vivid evidence na sio maneno tu,

Halafu wapi nimebeza na kukashifu?

Soma tena comment yangu na uzingatie alama za question mark,sio kila anayechangia hapa basi anachangia kwa ushabiki wa kiteam.
Sawa, taarifa iliyowekwa hapa ni Rivers kuwajulisha CAF madai ya kuwekewa sumu, anayetakiwa kutoa scientific evidence ni Rivers, Yanga au CAF? Kama sumu ni spray inayosambaa na kwisha baada ya muda mfupi kwa hali hiyo Rivers wakisema wamepuliziwa sumu kwenye gari, ni scientific evidence ipi ndio utaiamini na nani aitoe..
Kingine, taarifa tunazopata kupitia media zozote huwa ni fupi sana si rahisi kueleza mambo yote hadi ushahidi kama wanaolalamika wanao..sisi audience hatuna base yoyote kukosoa au kuongeza lolote zaidi ya kusubiri jibu kwa mamlaka zilizopelekewa kushughulikia jambo lililolalamikiwa.
 
Sasa kama mashabiki wa yanga ndo walienda kuwapokea sasa walaumiwe akina nani?
Mashabiki wa yanga wengi ni vibaka walisha wahi muibia pochi hadi bosi wao injinia Hersi.
Umechanganya madesa, ni MO ndiye aliyeibiwa simu na mashabiki wa Simba akiwa uwanjani siku ya Simba day..

Back
Top Bottom