Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,175
Reaction score
3,398
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

Screenshot_20230430_020543_Twitter.jpg
 
View attachment 2604249
Aahhaaaaaa
 
Drama zile walizowafanyia Wananchi kipindi kile kuwa Wachezaji wa Yanga kadhaa wana COVID 19 hadi wachezaji zaidi ya 8 hawajacheza wakajichukulia 6 points kiulaiini bado wanaendekeza tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona waliwafungia nyumbani sasa siyo ugenini
 
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.

Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.

Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.

View attachment 2604249
Wameingia kwenye basi kukagua bila kuvaa mask!

Wanigeria wanachekesha sana. Alafu wamepewa basi zuri sana.

Cheki basi walilopatiwa Yanga kule Nigeria.
IMG-20230422-WA0027.jpg

Huyo hapo pembeni sijui ni Job, naona anashangaa shangaa tu kwa basi walilopanda!

Back
Top Bottom