Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Rage anakusalimuKwahiyo wakitembea nayo mnawaibia?
Mashabik wa simba msitugombanishe na Riverpool,,mmewapulizia sumu na kuwaibia ili tuonekane Wabaya.Sisi kazi yetu ni Moja tu kuwapiga kama ngoma nyie waibieni wezi wakubwa nyie.Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
Nani kakwambia?Ubakie huku huku, naona kwenye siasa umeshanyoosha mikono.
Ama ilikuwa ni timu pinga jiwe, sasa mmeshaimaliza kazi.
uwezo wako wa kufikiria ni mdogo, Yanga wanahusika nini na ulinzi wa mali zao? wana kampuni ya ulinzi? miaka hii unatembea na hela kwenye gari kwanini wasiache Hotel walipofikia?Kwahiyo wakitembea nayo mnawaibia?
Sitaki kuamini, ila kama ni kweli, huenda Ngada FC wanataka kutuhujumu wakihofia Yanga kuingia nusu fainali.
Uchumi mgumu[emoji23][emoji23][emoji23]Wameingia kwenye basi kukagua bila kuvaa mask!
Wanigeria wanachekesha sana. Alafu wamepewa basi zuri sana.
Cheki basi walilopatiwa Yanga kule Nigeria.
View attachment 2604403
Huyo hapo pembeni sijui ni Job, naona anashangaa shangaa tu kwa basi walilopanda!
View attachment 2604534
Na waydadiMfanane na nani nyinyi kenge utopolo maluza?
Unampulizia mtu dawa huku ulishamfunga bao 2 kwao?Ulivyokuwa huna akili, tangu mashindano yaanze yanga amezikaribisha timu ngapi tena ngumu zaidi aje afanye hivyo kwa hao.malalamiko fc? Tumia akili sio masabuli
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jina lako kikabila chetu huwa anapewa mbwa mwenye ukichaa ambaye hajapata matibabu kwa muda mrefu. Siyo kwa ubaya ila ulicho andika yawezekana kinashabihiana na maelezo yangu hujachelewa wahi matibabu kabla hujaanza kuambukiza wengine
Hahaha...wasikimbie TafadhaliTutawalipa na fidia tunawaomba leo waingie uwanjani tumalizane
kwa timu gani waliyKlabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
asa iyo kesi si mpeleke polisi CAF watawasaidia niniKlabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku huu.
Hayo yamegunduliwa baada ya timu kumaliza mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga ya Tanzania ndipo ilipojulikana kuwa basi la timu limeingiliwa na kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa jumla ya USD 5,250.
Rivers United imeiandikia CAF na inasubiri kuchukuliwa kwa hatua zaidi.
Ila wanaigeria wana asili ya utapeli, wanatengeneza drama tu, Tangia lini Mnigeria akaibiwa kirahisi kwa jinsi walivyo wezi na matapeli.
View attachment 2604249
hii wapi hii..
Kitaa hiyo 🤣😂🤣hii wapi hii..