OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Enyimba ya siku hizi ni sawa na ihefu haina kitu ni vibonde kuliko hata yale magarasha ya plateau united
Boss hizo rank ni namba tuu hazina uhalisia wowote , siku hizi kila timu inaju kuupiga mwingi kufanya vizuri kunategemea usajili mzuri na sio records za nyuma. Ona mazembe ilivyoboronga mwaka jana na rank zake watu walikuwa wanajipigia tuu machezaji yameshazeeka akina mputuUnajua ipo namba ngapi ktk rank za CAF?
Haelewi chochote huyo Mbumbumbu. Rank zina maana zaidi Kwa timu za taifa lakini si Kwa Klabu inayoweza kupoteza hata Wachezaji 10 muhimu ndani ya msimu mmoja na ikashindwa kupata wengine Kama hao.Boss hizo rank ni namba tuu hazina uhalisia wowote , siku hizi kila timu inaju kuupiga mwingi kufanya vizuri kunategemea usajili mzuri na sio records za nyuma. Ona mazembe ilivyoboronga mwaka jana na rank zake watu walikuwa wanajipigia tuu machezaji yameshazeeka akina mputu
Wacha uzembe ww kijana....Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila.
Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
Jipeni faraja sisi tunawasubiri hiyo jumapili tuone kama Enyimba ni sawa na Ihefu yani timu ambayo kwenye ranking za CAF kakupita unasema sawa na ihefu?🐸🐸Enyimba ya siku hizi ni sawa na ihefu haina kitu ni vibonde kuliko hata yale magarasha ya plateau united
Jipeni faraja sisi tunawasubiri hiyo jumapili tuone kama Enyimba ni sawa na Ihefu yani timu ambayo kwenye ranking za CAF kakupita unasema sawa na ihefu?🐸🐸
Boss hizo rank ni namba tuu hazina uhalisia wowote , siku hizi kila timu inaju kuupiga mwingi kufanya vizuri kunategemea usajili mzuri na sio records za nyuma. Ona mazembe ilivyoboronga mwaka jana na rank zake watu walikuwa wanajipigia tuu machezaji yameshazeeka akina mputu
Yani hapa nimekaa kwa kutulia nawasubiri hiyo jumapili maana mwisho wa safari unaonekana wazi sasa ndo atakuja kujua Enyimba ni nani hapa Africa nachojua kwa sasa West Africa ukitoa Horoya nadhani Enyimba ndo anatamba huko sasa sijui mwenzetu anawaza niniMwambie ligi ya nigeria enyimba amemaliza wa ngapi? Na je anajua huyo rivers nafasi ya kucheza caf kaipata kwa kupewa point za mezani.. ila enyimba ndie alimaliza msimu mbele yake
Tuambie kwenye ranking UTO na Enyimba mpo nafasi ya ngapiEnyimba ya siku hizi ni sawa na ihefu haina kitu ni vibonde kuliko hata yale magarasha ya plateau united
njoo unikune kidevuJamaa unakuga unawashwa kinoma
Subiri matokeo ndio uje na hizo rank zao. Kama hapa walitufunga kamoooja kwa mbiiiiinde tena tukawakosa ya wazi zaidi ya 5 unaleta habari za enyimba hapa?Tuambie kwenye ranking UTO na Enyimba mpo nafasi ya ngapi
Jumapili jioni uje tena kuandika hayaBoss hizo rank ni namba tuu hazina uhalisia wowote , siku hizi kila timu inaju kuupiga mwingi kufanya vizuri kunategemea usajili mzuri na sio records za nyuma. Ona mazembe ilivyoboronga mwaka jana na rank zake watu walikuwa wanajipigia tuu machezaji yameshazeeka akina mputu
Tena kwa rank wamepitwa na Enyimba kwa tofauti zaidi ya 40 hiviJipeni faraja sisi tunawasubiri hiyo jumapili tuone kama Enyimba ni sawa na Ihefu yani timu ambayo kwenye ranking za CAF kakupita unasema sawa na ihefu?[emoji196][emoji196]