zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Hali zenu wafuasi wa hili jukwaa la MMU... kama kawaida yangu, nimetenga miezi hii mitatu nifanye research kuzunguka kumbi baadhi za starehe na zile ambazo kuna dada poa wanaojiuza. Ile barabara ya Mandela road nimepita mno ila sikuwahi kufika pale R Side in particular... Nimesikia mengi mno humu, mazuri na mabaya, ya heri na ya shari kuhusu lile vijana wa mjini wanaita chimbo..
kwa stori nyingi nilizosikia humu nilijua itakuwa ni sehemu flani kuuuubwaa amazing sana mbayo mtu yeyote wa aina yangu ambaye si mpenzi wa hizi vitu za starehe sana na ununuzi wa dada poa, atafurahia na kustaajabu sana. kwangu hali ilikuwa ni tofauti sana aisee... sanaaa
Baada ya kusikia humu kwenye baadhi ya nyuzi watu wanapasifia mno pale, na kuwa pako very royal and expensive, na kwamba kuna dadapoa wanaojielewa, nikaona nisiandikie mate na wino ungalipo... nikawa check jamaa zangu flani wanipe abc's za namna palivyo japo kwa ufupi tu ili nikifika nijue naanzia wapi na namalizia wapi
ratiba yangu ilikuwa hivi:
jioni siku ya jumamosi nikapata wine kidogo ili nishtue akili kwa sababu of course nakwenda kujitoa ufahamu... kama iliyo kawaida yangu, ya kuhakikisha usalama wangu hasa ninapokwenda maeneo hatari,, nikasafisha silaha yangu na kuipaki vizuri, tayari kwa lolote endapo ningeletewa sintofahamu au upuuzi wa aina yoyote..
nikafika pale Mwenge nikachukua dala dala mpaka R side... kwa sababu nilikuwa nishapewa maelekezo kabla, hivyo sikupata shida sana jinsi ya kuanza ihu yangu.. nilipotia tu mguu chini, NILICHOKIONA:
1. Malaya karibu wote wa eneo lile lote wana sauti kavu na sura ni nyeupe mno zilizochanganyika na wekundu.. no wonder ni mikorogo.. sura zimechoka sana halafu wamepaka kama wanja nyeusi hivi kwenye eye lashes... naona kabisa walifanana sana na wale wa Kule Kimboka karibu na Tazara..
2. kuna mabinti wadogo tu wa umri wa miaka 18 mpaka 20, ila ukiwaangalia wanaonekana kama wanawake wa miaka 45. si kwa sababu ya miili mikubwa no, bali ni kwa sbabu sura zao zimekomaa na kuchoka mno, plus zile sauti kali na kavu za vilevi... kumbuka hapo naangalia tu kwa macho na sijazungumza na yeyote kati yao...
3. shepu zao nyingi si og ni fake,, ukiangalia structure za shape zao utaelewa vema... na wengi wana matumbo makubwa hivi yale wanaita apron bellies sijui kwa kiswahili kizuri mnaitaje..
pia, wengi walikuwa wamenyoa afro ama kuvaa mawigi... seems like ni yale cheap ya 5000...
4. nikawaona vijana wengi na wengine watu wazima wakulungwa kabisa rika la kaka Mshana Jr nao wakiranda randa huku na kule katika kutafuta huduma bora.
kama tu Buguruni, hapa pia niliona wateja wengine ni walevi na wamechoka, kuna mwingine nikakuta anakorofishana na malaya kwamba alikuwa hajachamba hivyo amemchafulia mashuka ya kitanda cha guest(hahahahah)
5. wengine ni wazee tu wachovu ambao wametoka kwenye shift zao za vibarua vya kulinda hivyo wakaja kupunguza uzito...
KIFUPI:
wateja wengi zaidi ya 90% kwa makadirio yangu yasiyo rasmi ni kama wale tu niliowaona kule Buguruni.. wamechoka, wachafu, failed na wote wasiowajibika kiufupi..
na hii ilizidi kuupa nguvu msimamo wangu wa toka nikiwa na miaka 15+ wa kutolala na malaya... sababu ni kuwa sipendi ku share shimo na aina hii ya irresponsible men, imagine mtu anakwenda kwa malaya amelewa na hajachamba vizuri, anaishia kuchafua mashuka ya gesti... ni upuuzi na aibu.. i cant share pussy with such nincompoops. never on earth
sasa nikaanza kuongea nao ili nitafiti rasmi..
nikaanza na wa kwanza, kumbuka hapo najifanya mteja...
"hi girl, uko poa?", bei gani?"
akajibu 5000, nikasema ok kwende. kumbuka hapo nimevaa very locally na silaha nimeibana vilivyo, yaani nilikuwa tayari hata kumpasua kichwa kama angeniletea usela mavi na kuuhatarisha uhai wangu... milishasikia huko nyuma kuwa hawa watu hata kuua wanaweza, na wana umoja mno, halafu they are very cruel.
huyu binti alikuwa flat ana shape na very charming... tukaingia guest coz ilionekana hawana vyumba rasmi wale.. kufika ndani si akaanza kunibadilikia..(hahah)... yaani sauti ile laini ya ukarimu na upole ikaishia mlangoni, ndani nashangaa sauti inakuwa kavu na ya kuwaruza kama zile za walevi konki wa pombe kali mithili ya vile wanaita visungura kama sikosei..
"vua basi".. akaniambia.. na kumbuka hapo sikuwa hata nimemgusa coz sikutaka hata nimguse wala aniguse, nilikuwa natahadhari sana.
"ok anza kuvua, vua nguo zote", nikamuamrisha.
"utaongeza hela?", akaniuliza.
nikamuambia haina shida.
hapa ndipo nilipoona wanunua malaya ni wapumbavu mno na hawana akili nzuri... yaani unatoa hela halafu unakuwa kama unapewa sex kwa kusaidiwa??? nikajifunza kitu... nikaongeza kwenye conclusion ya research yangu.. yaani utoe hela halafu ukifika ndani unabadilikiwa unakuwa kama unasaidiwa(hahahah)... kuna watu wajinga sana.
tuendelee sasa... akavua brazia kwanza. nikaona alivaa kitu kama skin hivi inafika karibu nakitovu.. of course alikuwa na kitovu kizuri kimezama ndani kabisa, na alikuwa mweupe ule weupe wa kung'aa.. seems like she was a udsm campus girl... ni huyu tu R side yote ndiye nilimuona mzuri baada ya kuzunguka mno.
sasa alipovua ile skinkunajambo la kushtusha likatokea..
tumbo lake lilikuwa ni laini mno so likaporomoka pruuuup likafunika mpaka chupi.. nikabadili mawazo nikasema huyu si campus girl, ni tapeli, ni wale wadada wa mitaani wanajifanya campus girls.
akavua zote akapandisha tumbo lake akamalizia na chupi.. then akainama.. sasa ile kuinama naona tumbo limeshuka shini yaani ni kama ngozi fulani laini laini mno i cant explain...
nikamuambia nahisi kichwa kinauma... akasema kwa ukali unanilipa hunilipi? nikamuambia ila hatujafanya chochote... akasema hainihusu nataka 25K yangu...
sikutaka quarrels kuogopa kuharibu tafiti yangu.. nikampa 30K. akaanza kujichekesha tena na ile sauti ya mikwaruzo akaanza kuificha tena.
nikasema moyoni.. keep left b*tch( sorry i had to)
basi nikatoka na wakti natoka nasikia wananiita shemeji kama wale wa Buguruni kule nilikoenda last week... aisee kumbe kuna watu wanaishi dunia yao kabisa..
ila wanunuzi wa malaya niliwadharau sana kutokea siku ile.. they are idiots on my side.
wasichana wachafu, failed kwenye kila angle, desperate, halafu mimi nakwenda kuingiza utambi wangu kwao??? big no... i cant fvck the failures.
btw nazidi ku strengthen tafiti zangu... ili nijue how ither side of world goes. just for leisure coz beforehand i had not got that chance