Riwaya: I died to save my President

Riwaya: I died to save my President

Mwandishi amefanya vizuri sana kuwachonganisha David na Pascal
 
Frank.. pascal... david

Lazima mmoja ataangamizwa na wenzake

Mambo ni moto mambo ni fire
 
Frank.. pascal... david

Lazima mmoja ataangamizwa na wenzake

Mambo ni moto mambo ni fire
Hapa atakayeondoka mapema ni Paschal, Frank ndo center man wa hii mission ya mapinduzi na David lazima akae hadi mwisho maana ndo wanamtegemea kama rais[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah Kulubule tupia kitu kinachofuata...
Leo ibada haijaenda kabisa mawazo yote yalkuwa kwa Elvis ni vipi atafanikiwa ktk hii operations.... Hahahaha had nikawa najishtukia ibadani utafikiri riwaya ya kweli!
Nahisi huko mbeleni summer baby anaweza kumpa siri nyingi Steven zinazomhusu David, na huenda mpango wa mapinduzi Steve akaunasa na wahausika wa mapinduzi wote wakaumbuka!!
 
Tusubiri kifuatacho ITV
 
kulubule ndugu yangu
Ni shughuli za site zimekubana leo au ndio kushinda kanisani siku nzima ya leo?

Njoo tuokoe huku tunaumia na kuteseka isivyo kawaida!
 
Dah Kulubule tupia kitu kinachofuata...
Leo ibada haijaenda kabisa mawazo yote yalkuwa kwa Elvis ni vipi atafanikiwa ktk hii operations.... Hahahaha had nikawa najishtukia ibadani utafikiri riwaya ya kweli!
Nahisi huko mbeleni summer baby anaweza kumpa siri nyingi Steven zinazomhusu David, na huenda mpango wa mapinduzi Steve akaunasa na wahausika wa mapinduzi wote wakaumbuka!!
Shikamoooo
 
Back
Top Bottom